Recent content by massawe09

  1. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba aiagiza TANESCO isikodi mitambo ya dharura. Ataka mradi wa Rufiji usicheleweshwe

    [emoji23][emoji23][emoji23] naona unawakilisha elimu yako vizuri kwenye kipengele cha Lugha ya Kimombo. Hahaha "Let be Passion".
  2. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

    Kwa marekebisho tu Mkuu, Israeli ilipigana na nchi zaidi ya 4 kwa mpigo za jirani yake. Majibu uanfahamu kama sikosei. Nia hayo tu, wako mpendwa katika kujenga Taifa na kuangalia matofali yakipasuliwa uwanja wa Taifa.[emoji23]
  3. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuna sehemu takatifu duniani au ngonjera na ukoloni wa kijamii?

    KWANZA: Mungu ni nani? (Ni Alfa na Omega, Muumba wa mbingu na nchi). Haya sawa, twende kwenye alichokifanya kwenye uumbaji. Moja ya uumbaji wake ni binadamu wa kwanza Adam na Hawa. Sawa kabisa, haya Adam na Hawa wakazaa watoto Kaini na Abeli (Hongera zao). Kaini akamuua Abeli (Pole kwa familia)...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Regional Per Capita GDP: Hii ndio Mikoa 7 ambayo Wananchi wake wana kipato cha Uchumi wa kati Tanzania Bara

    Mkuu umeongea vizuri. Kwa sasa ongezeko la watu ni kubwa sana, hiyo 60 million inayosemwa nahofia sana ipo zaidi mpaka 100m. Heri kuwa na demand ya Labour kuliko kuwa na over surplus ya labour.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Regional Per Capita GDP: Hii ndio Mikoa 7 ambayo Wananchi wake wana kipato cha Uchumi wa kati Tanzania Bara

    Hapana ndugu, GDP kwa sababu inaonesha mapato gawa kwa idadi ya watu siyo kwamba ndy uhalisia wa mgawanyo wa hela kwa kila mtu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni mradi upi ungerudisha mtaji wa uwekezaji kwa TPDC?

    Hii kitu nimekuwa nikiiwaza sana, lakini kufanyika haya inahitaji kiongozi mwenye nia nayo.
Back
Top Bottom