Recent content by massapy

  1. M

    Wajuvi: North Korea hawataachana na silaha zao za nyuklia

    Yule ndio kidume wa silaha zote Kali duniani hamna upuuzi WA USA wala United Kingdom
  2. M

    Putin afanya kweli

    Kwanini walaani sass?
  3. M

    Tanzania ni miongoni mwa nchi chache zilizohudhuria kuhamishwa ubalozi wa marekani Jerusalem

    Umesema kweli mkuu JIWE ataki hata ushauri atujui litakuja kutokea nini huko mbele WaAllahu Aalam
  4. M

    Bolton :Silaha za North Korea zipelekwe Marekani

    We mtoa mada hivi unadhania Kim ajielewi mpaka apeleke siraha zake US uwe unajielewa na usipende kuandika kitu kabla ya kupata uhakika
  5. M

    Watu 9 waumeuwa nchini Indonesia baada ya makanisa kushambuliwa kwa mabomu

    Hebu niambia kuna uislamu wa kulipua makanisa nani kakuambia ufanye hivyo Mtume wetu wapi na ibala gani amesema mkalipue makanisa na uue watu wasio kuwa na hatia acha ushabiki Kumbuka hii sio simba na yanga ukawa na ccm hii ni dini mkuu acha ujinga nenda kasome dini
  6. M

    Marekani: Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee

    Mbona amuueleweki wakuu mie nadhani humu watu mnaakili zenu safi hetulieni acheni matusi
  7. M

    Watu 9 waumeuwa nchini Indonesia baada ya makanisa kushambuliwa kwa mabomu

    Mkuu wala usiupake matope uislamu dini yetu tukufu wala ausiani shighuli za kulipua makanisa sio ndio uislsmu umeagiza hivyo ni waongo tu Hao wapumbavu fulani wajiegezameza na kivuli cha uislamu, dini yetu aijaagiza kuwaua watu wasio na hatia kama watoto wadogo, wanawake, vilema, wazee...
  8. M

    Marekani: Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee

    Mnatakiwa kuuelewa uislsm una sheria iliyojikamilisha moja zinamtaka mwanamke kuwa ni mama wa na ni mlezi wa familia na ibada zake za swala zitakuwa bora zaidi endapo tu atazitimizia akiwa nyumbani. Sasa nashangaa huyo Dada ambae amelalamika kwenye mitandao ya kijamii isingemsaidia kufanya vile...
  9. M

    Je, wajua haya yaendeleayo Korea kaskazini?

    Hata mie naamini huyo muongo mkuu
  10. M

    Hivi kwanini Africa isiungane tuwe moja? Mbona litakuwa jambo zuri mno!

    Huyu ni mjinga fulani akumbuki kwann yuko huko America ajui kuwa babu zake waliuzwa ni mwehuuuu
  11. M

    Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

    Dini ndio kila kitu kwetu wee usie kuwa na dini kaa kimya
  12. M

    Gambia wauza ndege za Serikali kulipia madeni

    Kweli mkuu kwani Sizonje akikusikia unasema hayo atakupiga risasi kama mheshimiwa Rais mtarajiwa wa ukawa mwaka 2025
  13. M

    Kim Jong Un Atembelea China Kwa Siri

    XI ji ndio mwamba wao ila kamseti Kim kawa kalianzisha safii kabla ajakutana ndugu yake WA sk alienda kwa mkuu wake xi ji na pia kabla ajakutana na mawigi alienda kuchukua advise tuko pamoja[emoji106]
  14. M

    Vituko vya viongozi wa Afrika, Rais wa Gambia Yahya Jammehcha alificha magari msituni

    Na anapotangaza Dodoma jiji kwaiyo ndege za kimataifa zikatue chatto ndio wageni waje Dodoma na hilo jengo la TRA,Chatto wanakusanya pato gani kisa ujenge ghorofa hilo
Back
Top Bottom