Recent content by Masonjo

  1. M

    Rais Magufuli amteua RAS wa Kagera, Jaji Warioba aukwaa Ukuu wa Chuo SUA

    Mkuu, Diwani Athumani ni Muislam swala tano na ni Mpare wa Kilimanjaro.
  2. M

    Jaribu leo, mke wako hatakusaliti kamwe

    Kwa wanaume procedure ni hizohizo pia lakin upande wa kulia badala ya wa kushoto.
  3. M

    Mwanza vs Nakuru

    Usiweke moja moja,weka top 10 ya hotel za Mwanza alafu linganisha na Nakuru,ukienda top 30 ndio aibu zaidi. Katika miji mitano mikubwa Afrika Mashariki, Tanzania itaingia Dar es Salaam peke yake, wakati Kenya itaingia miji si chini ya mitatu.
  4. M

    Mwanza vs Nakuru

    Jambo moja la msingi tukumbuke, wakati sisi tukiwa Wajamaa tayari Kenya walikuwa mabepari.Sio aibu kukiri kuwa kwa sasa wapo mbele yetu japo tutawakamata soon.
  5. M

    Mwanza vs Nakuru

    Nakuru Legacy Hotel, Nakuru Chester Hotel, Nakuru Cathay Hotel, Nakuru Bonatna Hotel, Nakuru Waterbuck Hotel, Nakuru Merica Hotel, Nakuru Hillcourt Resort, Nakuru Peniel Guest House Lord Ergerton Castle, Nakuru Apex Resort, Nakuru Serene Deluxe Villa Hotel, Nakuru Milele...
  6. M

    Mwanza vs Nakuru

    Nakuru
  7. M

    Mwanza vs Nakuru

    Pembezoni mwa Lake Nakuru
  8. M

    Mwanza vs Nakuru

    Nakuru Barabara
  9. M

    Mwanza vs Nakuru

    Kwa miji mikubwa ya Tanzania kulinganisha na Kenya sio fair kabisa, bado miji ya Kenya ipo vizuri zaidi kuliko miji yetu.
  10. M

    Mwanza vs Nakuru

    Nakuru from the air
  11. M

    Mwanza vs Nakuru

    Nakuru, nitarudi tena: Milimani Estate Milimani Apartment Merica Hotel, Nakuru HillCourt Hotel,Nakuru HillCourt Resort,Nakuru Pollo Apartments,Nakuru
  12. M

    J.Mtatiro, yeyote aliye kinyume na Mh Rais yuko kinyume na Tanzania nzima iliyopo nyuma ya Rais

    Uchaguzi ukirudiwa sasa na Magufuli akapata chini ya 80% basi Lowassa atakuwa kidume.
  13. M

    Mkanganyiko wa Sheria ya Kutakatisha Fedha - Albert Msando

    Msando hajaeleza chochote,alichofanya ni kucopy na kupaste.
  14. M

    Mkanganyiko wa Sheria ya Kutakatisha Fedha - Albert Msando

    Haa ha ha aibu sana kwa wasomi wetu kuiba material y watu na kujifanya yao.Ilimpasa Wakili Alberto Msando kudeclare kuwa hilo andiko lake amelichukua huku.
  15. M

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein atangaza Baraza lake la Mawaziri

    Nakubaliana na wewe,huyo jamaa ni kichwa.Bila shaka Shein anataka kuwa na vichwamaji kama Alli Karume.
Back
Top Bottom