Recent content by masomo

  1. M

    Aliyekuwa anasambaza habari za uzushi za kifo cha Mkuu wa Majeshi atiwa mbaroni

    taarifa zimesema ni kijana mdogo.ni matumaini yangu mkuu wa majeshi atamsamehe.
  2. M

    Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    watu kama akina slaa ni mabilionea kwa hiyo kwao mabadiliko haliingii akilini wala halina ulazima kwao badala yake alihitaji tu kuwa rais.kwa hiyo tusimwamini sana maana shida za ajira,umeme,maji,barabara maana yeye anapanda ndege na afya tunazo sisi.anakotaka kutupeleka ni kule kulikotufikisha...
  3. M

    Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    watu kama akina slaa ni mabilionea kwa hiyo kwao mabadiliko haliingii akilini wala halina ulazima kwao badala yake alihitaji tu kuwa rais.kwa hiyo tusimwamini sana maana shida za ajira,umeme,maji,barabara maana yeye anapanda ndege na afya tunazo sisi.anakotaka kutupeleka ni kule...
  4. M

    Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    watu kama akina slaa ni mabilionea kwa hiyo kwao mabadiliko haliingii akilini wala halina ulazima kwao badala yake alihitaji tu kuwa rais.kwa hiyo tusimwamini sana maana shida za ajira,umeme,maji,barabara maana yeye anapanda ndege na afya tunazo sisi.anakotaka kutupeleka ni kule kulikotufikisha...
  5. M

    Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    shida ni ileile ya watanzania kuonekana malofa hawana akili zao za kujiwezesha kutambua mchele na pumba.hivyo wao wanathani ndiyo wanazo akili za kuwainject watz.lakini la pili ni pesa,slaa atakuwa amepata pesa na siyo bure lakini la pili ni ubinafsi wa yeye kufikiri angekuwa ndiye anayefaa kuwa...
  6. M

    Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    mafisadi wakina nani ambao magufuli atawafunga.wakina chenge,akina balali,akina mkapa,akina jk akina z1 angekuwa jasiri kama angewataja hao mafisadi.hiyo ni gia tu ya kuutaka uraisi ila haitatokea katika akili ya kufikiri kawaida.kama itatokea ccm ikachaguliwa tutegemee vioja.ccm bado hawajawa...
  7. M

    Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    kwa miaka mitano hakuna wa kutufikisha pabaya zaidi ya hapa.hatuna umeme.hatuna viwanda,maji,ajira,ufisadi,rushwa,barabara,elimu mbovu afya mbovu,hali ngumu ya maisha.wapi pabaya zaidi ya hapa atakapotufikisha lowasa?kwani ccm kwa miaka yote ni lipi wanajivunia.ufisadi kwa hali ya sasa unawahusu...
  8. M

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    kaskazini msifikiri ni malofa kihivyo,subirini tarehe 25 ndiyo mtatujua.tusingeacha kwenda kusikiliza vihoja vya magufuli eti tanesko wanamhujumu wanamkatia umeme,eti atafufua viwanda.hizi ngonjera tulishazisikia tangu enzi za kale.utaanzishaje viwanda wakati hakuna umeme.inawezekana magufuli...
  9. M

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    heuenda ni tatizo la kuwa na mitizamo tofauti.mimi sioni sababu yoyote ya kuchagua ccm kwa sababu wameshaishiwa uwezo wa kuongoza na kuleta maendeleo.anzia mwinyi,mkapa na kikwete elewa walipewa sifa nyingi za usafi lakini bado wamepewa miaka 30 na taifa bado ni maskini na ufisadi ukawa juu...
  10. M

    Siasa za Tanzania na Ubunifu Wake Uliobobea

    watu wengi wamejivua ufahamu.wapo waliosema watu wengi jangwani kwenye ufunguzi wa kampeni za chadema walikuwa ni wageni dar ni vijana wa monduli walichukuliwa kuja kujaza jangwani.pale mwanzo kwenye kila kampeni za lowasa magamba yalisema watu wananunuliwa.jamani.kwa ule wingi wa watu mwanza na...
  11. M

    CCM mmezidi kutapatapa

    Waangalieni vizuri hao wanamusiki na hata baadhi ya makada wa ccm wanapohutubia kuna wakati wana sema mabadiliko halafu wanakonyeza.j makamba alizungusha akazungusha huku akikonyeza akasema mabadiliko.msiwe na wasiwasi hata ccm ambao tupo huku ni kwa sababu tu ya kusubiri kugawana fito.
  12. M

    TANESCO, mgao huu una sababu gani tena?

    ni kipimo cha akili zetu kama bado tutaendelea kuchagua ccm.kwa tatizo la umeme peke yake lilitosha kuiondoa ccm madarakani kwani lina miaka 30.nchi ina maji ya kutosha kuzalisha umeme lakini wameshindea leo wana kisingizio cha kutumia gasi.ni changa la macho.inamaana kama tusingepata gasi...
  13. M

    Sasa ndio naanza kumfahamu mheshimiwa Mbatia

    kama kuongea kungekuwa ndiyo kipimo cha mtu kuleta maendeleo basi tanzania kupitia nyerere na kikwete ingekuwa kama marekani.lowasa siyo mtu wa perereee ni mtu wa maneno machache na vitendo kwa wingi.
  14. M

    Sumaye: Kinana anapiga dili za meno ya Tembo

    kama anamiliki meli si mchezo huenda hizo dili za meno ya tembo ndiyo dili zake je.
  15. M

    Sentensi 11 zilizotolewa na Freeman Mbowe kwenye Baraza la Idd

    kule machame waislamu na wakristo ni ndugu moja.hizo laana la allah zitakushukia wewe kabla ya oct 25.
Back
Top Bottom