Kojo Dowido
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 354
- 111
ni pale mwanasiasa anapokuwa mbunifu kwa kiwango cha hali ya juu kabisa. tulianza na kubadili gia angani ikakubalika na ikalipa kweli hiyo.
kama vile hii haikutosha kuwa sasa ubunie kununua watu wanaozimia na biashara hio ikulipe kisiasa,kweli baadhi ya wanasiasa humu nchini nimewavulia kofia.