Huo ni uchawa tu baada ya mama kusema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, wengine ndo Hao wanaanza kununua kamba mpya waziongezee hapo wale wanavyotaka.....
Kwahiyo nawew waweza tafuta yako mkuu uone waweza kula vipi.. naona wapinzani walivyolambishwa asali na mama wanaona JPM ndo alifanya...
Hii thread nimekuja kuitafuta aseee, nataka niijue vizuri haya yote Stage ya kwanza mpka ya mwisho, huu uzi kwa mara ya kwanza nliuona 2017, ila nimeanza kumtafuta Rakims mwenyewe mpk nijue, nataka kujua powers zote kama inawezekana Just to knw and have what is mine Rakims nahitaji Guidance
Nataka kuziamsha mkuu, karibia kila kitu hapo Kuna mengi nimeyaona ninayo mkuu, zaman nlikuwa naambiwa wew uombe basi utuambie kitu flan kimepotelea wapi tukipate na nafanya hivyo afu naoneshwa kwe ndoto, vifo vya watu ninaowajua huwa naoneshwa pia mkuu mpk unaogopa.....
Nataka zote nuzirudishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.