Recent content by Masombogoto

  1. Masombogoto

    Msaada kuhusu ufadhili wa masomo

    Habari wanajukwaa. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 na nina degree ya sayansi na elimu (education). Tangu nimemaliza elimu hii miaka 8 iliyopita nimefanya kazi kadhaa hapa nchini kama tutorial assistant, mwalimu wa shule, msaidizi wa mambo ya utafiti (research assistant), biashara na hata...
  2. Masombogoto

    Kwa Watanzania walio na malengo ya kuishi kutafuta kazi au kusoma nchini Ubelgiji au Uswisi someni hapa

    Hiyo "namna nyingine" ndo issue kiongozi. Magendo hayaruhusiwi. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Masombogoto

    Kwa Watanzania walio na malengo ya kuishi kutafuta kazi au kusoma nchini Ubelgiji au Uswisi someni hapa

    Changamoto ninayoiona mimi ni kupata mwenyeji kule. Wengine nauli, ujuzi, elimu na vitu vidogo vidogo vinaweza kupatikana. Lkn utaondoka unafikia wapi? Nani atakupa connection uanzie wapi? Naomba tusaidiane hapo. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Masombogoto

    Sielewagi maana ya R.I.P (REST IN PEACE)

    Wafu wapo wapi?
  5. Masombogoto

    Sielewagi maana ya R.I.P (REST IN PEACE)

    Wafu wapo wapi?
  6. Masombogoto

    Sielewagi maana ya R.I.P (REST IN PEACE)

    Wafu wapo wapi?
  7. Masombogoto

    Sielewagi maana ya R.I.P (REST IN PEACE)

    Wafu wapo wapi?
  8. Masombogoto

    Sielewagi maana ya R.I.P (REST IN PEACE)

    Wafu wapo wapi?
  9. Masombogoto

    Wafu wapo wapi?

    Nitaleta aya tata ndani ya biblia kuhusu mada hii muhimu ya kifo, na maana zake. Maana naona wengi wana hadithi zao tu zisizoungwa mkono na NENO LA MUNGU na bahati mbaya, watu wengi ndo wanapenda huo uongo kuliko ukweli.
  10. Masombogoto

    Wafu wapo wapi?

    Jehanamu. Bwana Yesu aliyekuwa akifundishwa kwa mifano, alitumia mfano kuwafundishwa wasikilizaji wake juu ya hukumu ya mwisho, yaani, Jehanamu. Lakini mahali alipopatumia Yesu kama mfano wa hukumu na ambapo baadhi ya walimu wa dini wamepahusisha na GEHENA. Hapa ni mahali ambapo palijulikana...
Back
Top Bottom