Hili suala la kua na dual citizenship lilianzishwa na chama cha upinzani Chadema 2005 pamoja na sera za kua na majimbo lipo kwenye sera za Chadema ,CCM walivyoona wakataka kulidandia tu lakini sio lao naona linawashinda,kama una mawazo kua kutakua na dual citizenship chini ya CCM labda...
Achani kuzunguka mbuyu kama wale walio sign hii mikataba walihongwa mkawatafute muongee nao wakubali kuisaidia serikali kua walipokea rushwa na wawape ushahidi wa kutosha hiyo inatosha kuvunja hiyo mikataba yote ila kama mnaogopana basi tatizo litabaki pale pale,ongeeni na wahusika tu ni watz...
sikujua kama nilikua nafanya mtihani wa kiingereza hapa ,ila naamini, i know and i can speak english with confidence than most of you guys,just repect others opinion and dont bring unrelated topic on others thread, i hope no offence guys
kama ni wazalendo na wapo tayari kuisadia Tanzania inabidi wafanye uamuzi mgumu kwa faida ya Taifa ,sababu hii ni vita kati ya taifa lao na wageni wanao pora mali za nchi yetu,pia naamini hata bila kuomba kama serikali imedhamiria ushaidi unaweza kupatikana wa kuweza kuwa implicate wahusika na...
Wewe mwenyewe kiswahili hicho hukijui,sababu UTELEWEKA ndio nini?wengine wamenielewa tu hata ningeandika kiswahili kuna wengine hawakijui pia kama wewe unayetaka nikiandike wakati sentensi mbili tu umeandika imekushinda.
Ikiwa wahusika walipokea rushwa wakubali wawe mashahidi wa serikali mahakamani
I will like to advice my Government ,how as state we can fight back on those called exploitative contracts signed by Government Official ,please this is just advice and if anybody else got more idea we can share it...
Jamani msiwe wa kali wa kuamua hapa inawezekana hawa jamaa wamegonganishwa vichwa tu na ......,kama unaongea na rafiki yako mambo ya siri then mtu mwingine wa tatu anawa record kwa siri halafu anatoa siri yenu hadharani,then huyo mtu wa tatu anakuita kwa siri anakuambia unajua mwezio ndio katoa...
OK statement of offence ya serikali {mimi sio mwanasheria} naomba wanasheria watutupie utaalamu wao hapa,matamshi ya Lissu kote anasema Tanganyika je kuna nchi ya Tanganyika? Serikali inataka tuamini Tanganyika ndio United Republic of Tanzania? je jeshi la tanganyika liko wapi?.....ambalo Lissu...
Kweli Nena kama ulivyosema conflict of interest hapo inabidi JPM mwenyewe amue kubadili ofisi ya mwanasheria mkuu kuwaweka pembeni wote waliohusika na hiyo mikataba , kuhusu zile za radar ile kampuni BAE walivunja sheria walikua na issue ya kutoa rushwa saudia arabia sasa kuna taasisi inaitwa...
nimekupata sana bro nilitegemea wahusika ambao ni intellectual hata wakienda huko kwenye icc international court of arbitration ni kimombo sio kiswahili na bro hata ukitafsiri pia kiswahili tunajua kuzungumza tu ukifikiria technical words nyingi hatuziongea sana imagine mtu andike somo la...
Ningependa kufanya hivyo bro hebu nishauri unafanyaje ? Kuituma huko downing street ! Ila hii mada inawahusu wa tz wote tu , haina ubaguzi ni mada ya wachangiaji wote kama ulivyofanya tunashukuru kwa kuchangia kwako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.