Ushauri: Steve Nyerere sasa soma alama za nyakati

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,680
8,868
Naona upepo unataka kukuangusha sasa kaa kimya upepo upite na kuwa mwangarifu sana usiongee mambo yako ya siri kwa watu,watu wasiokupenda watukuangamiza kwa kipitia Techinologia hii,ila usipambane katika mitandao na vyombo vya Habari...pia pakitulia waombe samahani wote uliowataja katika clip kwa kuwafata mmoja baada ya mwigine!Najua yaweza kuwa ngumu kidogo ila hauna budi!.
Na utambue sisi siyo watu, ni binadamu watu ni wachahe.
 
Natumaini atakua ameelewa mchezo uliochezwa hapo ,na ajaribu kujumlisha na kutoa atapata jibu amegonganishwa kichwa na mwenzie amekubali kirahisi,
 
Naona upepo unataka kukuangusha sasa kaa kimya upepo upite na kuwa mwangarifu sana usiongee mambo yako ya siri kwa watu,watu wasiokupenda watukuangamiza kwa kipitia Techinologia hii,ila usipambane katika mitandao na vyombo vya Habari...pia pakitulia waombe samahani wote uliowataja katika clip kwa kuwafata mmoja baada ya mwigine!Najua yaweza kuwa ngumu kidogo ila hauna budi!.
Na utambue sisi siyo watu, ni binadamu watu ni wachahe.
Mkuu ushauri mzuri sana. Katika hali hii ya sintofahamu ni vyema mtu ukakaa kimya na kutafakari. Waliohusika katika sakata lote lile ilitakiwa wakae kimya na kutafakari manake yale mambo si mepesi. Hii ya mara kukutana na vyombo vya habari na kuongea na wengine kukimbia vyama naona hakuna tija kwa wakati huu.
 
True jamaa angejuwa angetulia tuuu
Halafu angepita kimya kimya kwa mmoja mmoja Kuomba msamaha
 
Mkuu Mleta Mada Umeona Mbali Sana Ila Kosa Kubwa Alilofanya Tayari Ni Pale Alipoitisha Mkutano Na Kuonyesha Kuitetea Ccm Bila Kujua Anajichafua Na Technologies Ina Nguvu Uigizaji Wake Na Hiyo Nafasi Yake Ya Chama Cha Mapinduzi

Kwasasa Anatakiwa Kuachana Na Media Maana Ndiyo Anakoamini Kuzuri Kumbe Kubaya. Jiulizeni Huyo Bongo Movie Anapata Wapi Pesa Ya Kukodi Ukumbi Na Kuongea Na Wanahabari Kama Siyo Kutumika Vibaya

Ikumbukwe Ccm Ndani Hakuna Uelewana Ila Yeye Anajiona Ndiyo Mpatanishi
Bora Kwasasa Arudi Kijijini

Anazungumzia Madeni Ya Ya Chama Wakati Wasanii Tele Wanakidai Chama Na Thread Zimo Humu Akina Shigongo Walilipwa Kwa Mbinde
 
Ila uongo alomweleza yulemama unaudhi labda ndomana yulemama akauweka hadharani! Eti nlikutana na makamu Wa rais akitokea dubai hahahaa...dah. Nlikaa na Zitto na Mbowe duh! Eti ndo kada mtetezi wa chama. Naomba wampige marufuku kutetea chama
 
Ujue siasa ni usanii na huyu ni msanii wa siasa wa level ya chini.
 
Naona upepo unataka kukuangusha sasa kaa kimya upepo upite na kuwa mwangarifu sana usiongee mambo yako ya siri kwa watu,watu wasiokupenda watukuangamiza kwa kipitia Techinologia hii,ila usipambane katika mitandao na vyombo vya Habari...pia pakitulia waombe samahani wote uliowataja katika clip kwa kuwafata mmoja baada ya mwigine!Najua yaweza kuwa ngumu kidogo ila hauna budi!.
Na utambue sisi siyo watu, ni binadamu watu ni wachahe.

Awaombe msamaha kwa ajili gani!! Waliotajwa wamehusika kwa jinsi walivyohusika!! Ukifanya biashara na akili ndogo, haya ndio matokeo yake, tukubaliane nayo
 
Back
Top Bottom