Hapa tunachanganya vitu viwili kwa wakati mmoja,,mtu anayetafuta maisha DAR,,wakati huo huo wazazi wake wanamijengo dar,,na mtu anayetoka mkoani,,kuja kutafuta,,,,huku wazazi wake wakiwa hawana asset yoyote dar,,hapo kuna tofauti kubwa ya maumivu yautafutaji,,,,,,chamsingi,,nikutokukata...