Recent content by Masinde-morogoro-kibangir

  1. Masinde-morogoro-kibangir

    Natafuta mke kuanzia miaka 21-24

    age hizo huku utafilisiwa
  2. Masinde-morogoro-kibangir

    Kilimanjaro: Wawili wakamatwa wakidaiwa kuzushia ugonjwa viongozi wa Serikali

    sasa huko kwenye mitandao unamhoji nan!! fuata taratibu za kuhoji sio kuzusha jambo ambalo huna uhakika nalo!!. . kumbuka hiyo mitandao siyo kwetu kaka
  3. Masinde-morogoro-kibangir

    Kilimanjaro: Wawili wakamatwa wakidaiwa kuzushia ugonjwa viongozi wa Serikali

    kuulizia sio tatizo, tatzo kutoa taarifa kuwa anaumwa.. wwe una uhakika gani kama ni mgonjwa
  4. Masinde-morogoro-kibangir

    Kilimanjaro: Wawili wakamatwa wakidaiwa kuzushia ugonjwa viongozi wa Serikali

    haina kuhoji ni kosa!! ila mambo mengine tunayafanya tu.. mambo yabaki kuwa siri tu.. haina aja ata kuwekwa mtandaoni.. mitandao yenyew sio yetu
  5. Masinde-morogoro-kibangir

    Kilimanjaro: Wawili wakamatwa wakidaiwa kuzushia ugonjwa viongozi wa Serikali

    Ndo mana mimi nikikutana na taarifa kuhusu haya masuala bora nizime simu tu😁😁
  6. Masinde-morogoro-kibangir

    Je, kuna mgao wa umeme Tanzania?

    mkuu wew unaishi mkoa gan
  7. Masinde-morogoro-kibangir

    Natafuta mwenza wa maisha serious

    hapo nimekupata
  8. Masinde-morogoro-kibangir

    Natafuta mwenza wa maisha serious

    mkuu kam umeeleweka fulan tatzo hyo chotara uliyopiga imetoweshwa
  9. Masinde-morogoro-kibangir

    GE2020 Kwanini Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vimeanguka vibaya sana katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani

    Usijifu una mbio msifu na anayekukimbiza, na debate bila opponent ni ngonjera.
  10. Masinde-morogoro-kibangir

    GE2020 Kilimanjaro: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    tumerudisha iman kwa CCM... wakituzingua mitano ijayo! tuna move hatunaga u chama wengine sisi...
  11. Masinde-morogoro-kibangir

    The UEFA Champions League 2020/21 Special Thread

    R.madrid ndo haelewek anaweza maliza nafas y 3
  12. Masinde-morogoro-kibangir

    GE2020 Zitto: Kigoma tumekamata kura feki nyingi zikiwa zimewapigia CCM

    Aisee man! mi nipo chugga na nime vote Uncle Magu, ili amalizie kibarua chake... lakn pia naona kama unachoongea hakielewi au hakipo!!! ivi media gani leo umeisikia kuna malalamiko yametolewa?? au hujaelewa mkuu!!! malalamiko yapostiwa kwa social network sio social medial sawa!!! na...
Back
Top Bottom