Recent content by mashukurumageni

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua kuunganisha hili kabati

    Wakubwa shikamooni, wadogo habari zenu, Naombeni msaada kwa anaejua jinsi ya kuunganisha hii anipe maelekezo plz
  2. M

    JamiiForums Tanzania Beach nzuri

  3. M

    JamiiForums Tanzania Beach nzuri

    Darzoo iko maeneogani mkuu, me mgeni na mambo haya
  4. M

    JamiiForums Tanzania Beach nzuri

    Habari wana jamii forums, naombeni wenye kujua beach nzuri na ya bei nafuu kwaajili ya watoto anijuze kwani nataka sikuku hii niwapeleke watoto wakaenjoy kidogo, maeneo ya banana nasikia kuna beach inaitwa kwa mzungu naombeni mwenyekuijua
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama amenichoka aniambie niende kwetu

    Pole dada i know how you feel my dear, me nipo kwenye ndoa naelewa kipindi kigumu unachopitia ya kuishi na mwanaume ambae athamini uwepo wako but njia pekee ya kuibadilisha ndoa yako ni maombi pekee ndo yatakusaidia, omba na kufunga kwa imani nakuhakikishia utaona mabadiliko makubwa sana ktk...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Center kwaajili ya kurudia mtihani wa kidato cha nne

    Habari zenu wandugu, naombeni kwa wanaojua center nzuri kwaajili ya kurudia mtihani wa kidato cha nne maeneo ya tazara, buguruni au kariakoo, kama kuna mtu mwenye kujua center nzuri zilizopo maeneo hayo naomba anijize plz
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya stationary

    Nipe uwi mchongo mkuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya stationary

    Kibaha!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya stationary

    Nakusikuliza mkuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya stationary

    Temeke
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya stationary

    Nipo dar es salaam
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni lazima kufanya masomo yote ukirudia mtihani wa kidato cha nne?

    Habari zenu wanajamvi, Naomba kufahamu kama kwa wanaorudia mitihani ya kidato cha nne ni lazima kurudia masomo yote. Yaani hakuna kuchagua kama alivyosema Waziri wa Elimu, Prof Ndalichako. Naomba msaada wa kuujua ukweli.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya stationary

    Habari zenu wandugu, mimi ni mdada wa miaka 27, ninahitaji kazi ya steshenary, elimu yangu ni kidato cha nne pia nina ujuzi wa computer, sio lazima iwe steßhenary kazi yoyote yenye masilahi na iliyo halali nafanya
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto za mabinti wengi ni harusi

    Hahahaaaa umenena mkuu ndoa si kitu cha mchezo mchezo ati!!!!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania JIPATIE TV, RADIO NA MEZA YA TV KWA BEI CHEEE

    250000 ni nyingi lakini azina masilahi mkuu
Back
Top Bottom