Recent content by mashonga

  1. mashonga

    JamiiForums Tanzania TRC yafanya kikao chake cha kwanza kuelekea Ujenzi wa Reli ya Mzunguko Dar Es Salaam

    kwa aina ya ujenzi holela ulivyo fanyika Dar, njia nyepesi ni njia za wendokasi zipitishwe hiyo reli
  2. mashonga

    JamiiForums Tanzania Chama cha AAFP chamjia juu Heche kukiita "chama cha mfukoni"

    ha ha Mh. Kitumbua kwenye moja na mbili
  3. mashonga

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Yule Mzee alifia Makkah akiwa kwenye ibada ya Umrah, hivyo alizikwa Saudia, ila hilo haliondoi uwezekano wa kuwa na yeye ni Amii Jei (kwa sauti ya Joti)
  4. mashonga

    JamiiForums Tanzania Tukubali utawala wetu umeshindwa, umetuangusha, umejiangusha na kutia aibu

    Samuya Maduro atupishe.
  5. mashonga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo VS Zitto Kabwe naomba qualification/CV zao

    Ni Majimbo mawili tofauti , Dalali ZZK yupo Kigoma Kaskazini, Baba Levo atavaana na Abdul Nondo Kigoma Mjini
  6. mashonga

    JamiiForums Tanzania Kuwananga / Kuwasema vibaya Yanga SC kwakuwa tu wamechangia CCM si tu ni Ushamba bali pia ni Upumbavu na Unafiki uliovuka mipaka

    Akili sio vyombo vya wageni, hivyo haukatazwi kuzitumia.
  7. mashonga

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Songea kupitia Malinyi, mpaka Ifakara itajengwa kwa kiwango cha lami nikiwa Rais wa Tanzania

    Nakumbuka Serikali ilishaini mikataba ya ujenzi wa hii barabara, labda walipo mikoa hiyo watuambie kama kuna Mkandarasi site
  8. mashonga

    JamiiForums Tanzania Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

    Ilikuwa ziara ya siku moja na alirejea salama, siku inayofuata alipokea tuzo na pia alipokea ujumbe maalum toka Congo Brazzaville, tembelea page za KUILU uone picha
  9. mashonga

    JamiiForums Tanzania Bunge la Bajeti kuahirishwa Agosti kuna nini nyuma ya pazia?

    Post toka kwenye kurasa za Bunge leo
  10. mashonga

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila dhuluma dhidi ya watanganyika inasimamiwa na watawala wageni?

    Shida kubwa ni Watanganyika hatuna uchungu na Nchi yetu, kazi kuendekeza Uchawa tu!!
  11. mashonga

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    N.R.N.E
  12. mashonga

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No reforms, No election
Back
Top Bottom