Recent content by mashodi

  1. M

    New Magufuli Era: Mwisho wa Zama za utofauti mkubwa wa kiimani katika Kamati Kuu (CC)

    Kwa takwimu gani za Tume yetu ya Taifa ya Takwimu?
  2. M

    New Magufuli Era: Mwisho wa Zama za utofauti mkubwa wa kiimani katika Kamati Kuu (CC)

    Kwa Takwimu gani za Tume yetu ya taifa ya Takwimu?
  3. M

    Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

    Acha kuwa empty minded na kujitia ujinga kwa makusudi, Huo ukweli mkubwa unaouna ni upi, uthibitisho wa udini wa Dr Dau uko wapi? Je kushuka kwa ufanisi na ubadhirifu? Sefue kashindwa kuthibisha haya akapigwa chini! Huo ukweli unaouona wewe uweke hapa!!
  4. M

    Kubenea ana ugonjwa wa chuki (Uchambuzi)

    MTUMISHI wa Mungu afumaniwe kwa uzinzi na mke wa mtu, kesho asubuhi aamkie madhabahuni kuhubiri neno kisha waumini wapokee. Huko ni kumtania Mungu. Mimbari ni kwa ajili ya wasafi. Ukiwa mchafu hufai kuhubiri neno. Maneno ya Mungu hayashereheshwi na mwenye uchafu. Maana mtu mchafu ni mtenda...
  5. M

    Serikali iwatupie jicho kali BASATA

    Dili lenu la kuuza mabinti kwa waroho wa ngono na kujinyakulia vibinti limeharibika mnapiga kelele sasa
  6. M

    Kundi la maseneta 35 maalumu Tanzania linaendelea na kikao cha kumpata rais

    Dr Wilbroad Slaa , au prof Ibrahim Lipumba hawajapendekezwa?
  7. M

    Kamati Kuu CCM yatoa uamuzi kuhusu wanachama sita waliokuwa wamefungiwa

    Nyie kina nani? nani kakwambia mimi naweza kuwa mpuuzi kiasi hicho cha kuwa mfuasi wa CCM!Tunapopiga vita juu ya itikadi mbaya za ujinga huu wa kukumbatia udini,ukanda,ukabila na chuki zisizo na msingi huwa hatuuangalii nani anaguswa, iwe CCM,CDM,CUL,NCCR,ACT au NLD tutatawakanya tu!
  8. M

    Kamati Kuu CCM yatoa uamuzi kuhusu wanachama sita waliokuwa wamefungiwa

    Maandiko yako mara nyingi yatakuwa na moja kati ya haya , udini,ukabila,ukanda na chuki zisizo na mashiko.
  9. M

    Balozi Amina Salum Ali atangaza kuwania Urais

    Anagombea urais wa Tanzania si wa Tanganyika usimlishe maneno mtoa mada. urais wa Tanganyika mgombea wake huwa mmoja tu Mwalimu Nyerere na kivuli.
  10. M

    MUSLIM VOTES: Waislam wa Magomeni wamwalika Membe kwenye Qaswida!!

    Kwani UDOM na UDSM zinamilikiwa na dhehebu gani la kikristo?
  11. M

    Urais UKAWA wawagonganisha NCCR Mageuzi na CHADEMA

    ​Dar es Salaam. Chama cha NCCR-Mageuzi kimeponda kauli ya Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu kwamba Katibu mkuu wa chama hicho kikuu cha upinzani, Dk Willibrod Slaa ndiye atakayekuwa mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).Akiwa kwenye mkutano wa hadhara wa Chadema...
  12. M

    Naiona vita kuu ya Afrika Mashariki na kati ikisogea,Tanzania na alliance yake vs CoW

    Duh! hadi huku upo! upo deep mash Allah.
  13. M

    Freeman Mbowe atoa suluhu ya foleni na mafuriko Dar es Salaam

    Nahisi ulikuwa unamaanisha Nairobi
Back
Top Bottom