Nilikuwa na kidemu fulani hivi nikiwa o level,,Sasa mabinti wengine wakiwa wananiandikia barua(simu hazikuwepo kipindi kile) zile barua nakipelekea kidemu changu,,Kilikuja kunipiga Kibutii yaan sikuamini,,harafu kikachukuliwa na rafiki angu wa karibu,, Tokea kipindi hiko Sijawahi kuishi na...