Umenikumbusha Mbali sana,Miaka hiyo ilikuwa inabamba sana kusikiliza Vipindi vya radio hata kuanzia saa 8 baada ya Dw nakumbuka nilikuwa Sekondary ninawahi saa 9 nikamsikilize Beatrice Robinson aka Mtoto wa Mama Sabuni au wakiwa wanawapigia Simu Wasanii wanazungumza nao kuwahoji.!
Wafanyabiashara Wote wanatakiwa wakutumie Wewe kutangaza Biashara zao kwani umeweka taarifa zote ambazo mnunuzi anahitaji kufahamu,haina haja ya Maswali Mengi hongera sana,Wenye uhitaji na hii Gari wachukue Mapema tu !
Ni Mfanyabiashara Mzoefu kutoka familia ya Oilcom sasa hivi yeye anamiliki Vituo vya Mafuta Camel Oil na Kiwanda cha Saruji hapa nchini chenye Chapa ya Camel Cemnt.
Tumpongeze kwa hatua kubwa hii.!
Muonaji ninakupongeza Sana kwa Uchambuzi wako ulio huru hujabebwa na hisia zako binafsi au Mahaba na Chama chochote Kazi nzuri sana hii umeandika kwa Kutulia,Machapisho kama haya yanaleta Heshima kwa Jf
Ubarikiwe sana.!
Benki ni Equity hamna Makato ya Mwezi wa Mwaka unakatwa tu pale unapotoa
Binafsi nashangaa hizi benki Makato ya nini ya kiendeshea Akaunti wakati ni Biashara yao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.