Recent content by mashila

  1. M

    JamiiForums Tanzania Meya wa Ubungo Mheshimiwa Boniface Jacob apigana na mbunge wa Arusha mjini Godlbess Lema Kwenye Kikao cha Kamati kuu

    Kama ni kweli CIO ishara nzuri ila itapendeza sana mramba akituwekea picha AAU clip ya tukio hapa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Upinzani umeshuka katika Kanda ya Ziwa na Kaskazini?

    Tuna tatizo kwenye mambo makubwa mawili 1 KATIBA na 2 TUME HURU YA UCHAGUZI
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Upinzani umeshuka katika Kanda ya Ziwa na Kaskazini?

    Mkurugenzi nakupa posho, ulinzi na gari then utangaze mpinzani kashinda unaakili kweliii? Pia nitamwomba mh raid msamaha kwa kupoteza Kata moja ktk mkoa wangu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Upinzani umeshuka katika Kanda ya Ziwa na Kaskazini?

    Sawazisha mazingira ya kufanya siasa kW vyama vyote then watu wafanye KaZi kwa taratibu na sheria na ciyo mashinikizo then ndo mje na hoja zenu za upinzani umeshuka
  5. M

    JamiiForums Tanzania Somo gani litolewe watu waache kukosoa hovyo Serikali

    Ukosoaji sio tatizo kwani ni njia ya kujirekebisha na ukiona MTU hapendi kukosolewa then something must be wrong samewhere
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Upinzani umeshuka katika Kanda ya Ziwa na Kaskazini?

    Ukisoma ualimu kuna kozi inaitwa upimaji( measurement and evaluation) ktk kupima ni lazima useme unalenga kitu flani sasa unaposema upinzani umeshuka unakuwa haueleweki kwani racing must be in plain ground btn two opponent if not that then we can not call it race .
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Isiingie mkenge kwa kutoshiriki chaguzi za Marudio

    Binafsi siwashauri kususia uchaguzi kwani ndo itakuwa mwanzo mpya wa kupotea kwenye jamii ila waende kwenye uchaguzi then wakawaeleze wananchi hali ilivyo na nin cha kufanya
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ubungo, Saed Kebenea(CHADEMA) akanusha kujivua uanachama wa CHADEMA

    Pigana kamanda mapambano huwa yana vikwazo vingi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mpinzani wa Mbowe ajitoa

    Hakuwa mgombea mwenza wa chadema ila ni mgombea wa act aliyetaka kuwa kiongozi wa chadema.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Puuzeni vibaraka wa CCM wanaojifanya wana-CHADEMA - Tundu Lissu

    KWAN WAKATI ANAOMBA KURA ALIAHIDI MATUNDU YA VYO0? Achen ujinga kunya unye wewe then uchimbiwe choo? Au ma ccm ndo wanafanya ivyo kwenye majimbo yao?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada;Chuo kipi kizuri ambacho naweza kusoma na nikapata ajira?

    We hujasema unataka kusomea ki2 gan, ivyo tafuta preference yako then ndo urudi hapa ila ajira za uhakika ni JESHI[magereza, police, uhamiaji na tanapa] 2 afya, kilimo na elimu
  12. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA:kibari cha kubadilishana kituo cha kazi

    Ukisha sainisha kote[kwako na kule unapokwenda] unachukua kibali cha kukubaliwa kule unakotaka kuhamia then unarudi kwa afisa utumishi wako atakuandikia covering later ambayo utaipeleka Kwa RAS mwenyewe bt sharti uwe na 1 Barua yako ya kuomba uhamisho, copy ya kitambulisho chako, 3 salary slip...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natamani sasa kuolewa

    0763049584 nicheki hewani
  14. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya maelezo ya Tumaini Makene juu ya Waraka aliojibu

    Is this all to ur side? Think beyond the limit of ur brain
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ally Bananga: Diwani anayesubiri kuapishwa kata ya Sombetini

    Kabla ya misa ya kwanza kutoka Bananga ally atakuwa ameshatangazwa diwani. Go on Kamanda
Back
Top Bottom