Recent content by mashikolomageni

  1. mashikolomageni

    JamiiForums Tanzania Katavi: Barabara imefungwa baada ya mafuriko kukwamisha Abiria

    Bado hata daraja la mto MNYAMAZI kati ya Uvinza na Mpanda nalo lilifurika maji for 3days hadi wakati mie naahirisha safari.
  2. mashikolomageni

    JamiiForums Tanzania Profesa Mussa Assad: Hasara za Tozo ni kubwa kuliko faida zake, Mawaziri ndio wakatwe kodi

    Duh ngoja tusubiri Madelu aanze kulipa tozo
  3. mashikolomageni

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kate Kamba ni nani hasa na anasimamia nini?

    University of Dar es Salaam - Directorate Of Internationalization, Convocation & Advancement [University of Dar es Salaam - Directorate Of Internationalization, Convocation & Advancement] is good,have a look at it!
  4. mashikolomageni

    JamiiForums Tanzania RPC Olomi aliyesimamishwa kazi Kagera ni nani ?

    Wewe pia umechanganya Madesa wakati Mkapa ni Rais wa nchi hii Mrema AL ni Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi
  5. mashikolomageni

    JamiiForums Tanzania UGANDA: Watanzania 13 wa familia ya Gregory Teu, wafariki katika ajali. Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Mungu awapokee marehemu wote, huku tukiwaombea majeruhi wapone haraka, bila kumsahau majeruhi wa risasi aliyeko Nairobi
  6. mashikolomageni

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makonda: Ruge wa Clouds Media ahojiwa na Polisi

    Mashetani/ Pepo za Baba Askofu ziko kazini
  7. mashikolomageni

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Pole mkurugenzi Maxence Melo tujipange tu maana non of us is safe!!!
  8. mashikolomageni

    JamiiForums Tanzania KILIMANJARO: Milioni 100 zaporwa duka la kubadilisha fedha

    Wewe iko baguji ya rangi
  9. mashikolomageni

    JamiiForums Tanzania UHABA WA SUKARI: Paul Makonda aendesha msako, tani 4 zakamatwa Kinondoni

    Mpaka kieleweke tu hawawezi kuchezea Government ya Serikali!!
  10. mashikolomageni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mlata azuiwa JKNIA kusafiri, hakuwa na kibali cha Ikulu

    Mtumishi wa umma/serikali unaposafiri kwenda nje ya nchi kwa safari binafsi au ya kikazi/ masomo, unajilipia mwenyewe au unalipiwa na yeyote serikali/ wahisani ni LAZIMA uwe na kibali cha kukuruhusu kufanya hivyo.
  11. mashikolomageni

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Magufuli alikataa kata kata boti za Azam kwenda ziwa Victoria

    Hizo meli zilifika mwanza na kufanya kazi kweye ziwa victoria lakini baada ya muda mfupi zikawa tishio kwa maisha ya wasafirin na ndipo SUMATRA ikazifungia mwaka 2008 hadi leo hazijzkidhi matakwa ya sheria MELI HIZOZILIKUWA BOMU ZINGEACHWA ZINGEKUWA KIAMA KWETU. #HapaKaziTu
  12. mashikolomageni

    JamiiForums Tanzania Sita na Uzinduzi wa Reli Mpya 15/09/2015 Ulifanyika? Nijulisheni

    Huyo Laigwanani ni kweli alisema atajenga reli kwa kiwango cha lami
  13. mashikolomageni

    JamiiForums Tanzania Ofisa wa NEC matatani ni baada ya kumuita Lowassa Rais akimkabidhi fomu

    Duh bonge la mistake!!! Angefanya mistake hii siku Magufuli anachukua form angepata Promotion kesho yake tu
  14. mashikolomageni

    JamiiForums Tanzania Paul Sozigwa amepotea katika mazingira ya kitatanishi

    Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV saa 2 usiku huu kuwa Mzee Paul Sozigwa amepotea nyumbani kwake Magomeni. Huyu mzee alikuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM zama za Mwalimu JKN
Back
Top Bottom