Recent content by Mashaka10

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wadau naomba mnisaidie Windows 10

    Tafuta software za kuhack uweze kuregist hiyo window na itakuwa fresh
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nani hasa wapo nyuma ya kiburi cha dstv?

    DStv paytv na Azam media wao hawahusiki,ila hao chanel 10,itv,startv, cloud tv wanatakiwa walipe hela azam na DStv ili chanel zao zionekane,ukiona zimekatwa shida sio DStv ama azamtv
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nataka nijiunge na DSTV, vipi kifurushi cha mambo kina chaneli nzuri?

    Haziwezi kuwa na mg'ao mzuri wakati producers wako low quality
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nataka nijiunge na DSTV, vipi kifurushi cha mambo kina chaneli nzuri?

    Seria A,inaonekana kwingi tu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vifungashio

    niko missenyi, kagera Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vifungashio

    nataka vya transparent, ambavyo ni rafiki kwa mazingira Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vifungashio

    missenyi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vifungashio

    Habari zenu, naomba kwa mwenye utaalamu wa kutengeneza vifungashio vya ufuta tuwasiliane tufanye biashara. Namba yangu ya simu ni 0752719412 napatikana pia WhatsApp kwa namba hiyo, mwenye utaalamu jamani tusaidiane Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sasa tatizo litakuwa kwa Omog

    Tatizo mnamlau kocha wakati usajili wamesajili viongozi bila kujali mahitahi ya timu, mfano niyonzima wa nini wakati una mo ibrahimu na mzamiru? Kocha atafukuzwa c kwa makosa yake ila kwa makosa ya viongozi na pressure ya mashabiki wasiojuwa mpira maana soon ataanza kupangiwa kikosi(11) Sent...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kiufundi ndugu wa jf

    Tecno m5 inashindwa kumaliza booting, nimefanya hard reset mara nyingi bila mafanikio........ msaada kwa anayejua njia mbadala
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kiufundi

    Tecno m5 inashindwa kumaliza booting, nimefanya hard reset mara nyingi bila mafanikio........ msaada kwa anayejua njia mbadala
Back
Top Bottom