Nachoamini sisi tunashida Kama waliyonayo wao, swala Ni exchange tu, Kama Hakuna Cha maana Sidhani Kama midahalo ya nchi yetu ingekua mingi kwako, Kuna wanachonufaika nacho//Tumia akili ya Nyerere kuelewa, ya mzungu itakusumbua na kuwaza mabalaa pekee
Tatizo hata vikao/mikutano ikiitwa huwa huendi-Waamini walimu/walezi wenzio, wanahuruma Sana na watoto na wanamalengo ya kishule-Wizara wanayafikia
Tambua waraka huo wa Elimu- bure unfanya kazi nchi nzima lakini mazingira tofauti,
Msiwakatishe tamaa walimu wetu, waache wafanye kazi Yao ya...
Kama wadogo zako uliowapenda umewawezesha anayekulaumu Nani?
.
Na hata Kama wanakulaumu wewe ulitenda wajubu wako- Tuliza akili-starehe hazitikiswi hivyo
kaa kimya tu hawezi kujitokeza kwa mumewe,jiandae kisaikolojia kwa lolote litakalo tokea,
.
Acha mawasiliano na ex,
Mblock kabisa:
.
Ni bora mumeo ajue kutoka nje atachukua muda wa kuchunguza,atakua ameshajishajipooza (kama ni muelewa lakini-anaweza kuhimili magumu)
.
Itampa hasira sana...
Wakuu msaada wa uzi kwa yaliyotokea Sudan; nasikia tu na nipo mbal sana na vyombo vya habar.
Mtetezi wangu n Jf kwa net E napatapata humu ya ulimwengu
.
Nchi kubwa sana hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.