Recent content by Masekho

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni Kwanini huyu U.S. Tycoon agharamie Ujenzi wa Serengeti Airport? Je, ni Malipo kwa 350,000 acres?

    Nami pia nishirikishwe wakukubwa kwani nami ni mdau. huko ni nyumbani, natokea nata motukeri.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni Kwanini huyu U.S. Tycoon agharamie Ujenzi wa Serengeti Airport? Je, ni Malipo kwa 350,000 acres?

    Nami nipo njiani nami niweke nguvu
  3. M

    JamiiForums Tanzania CCM kitakufa mwaka 2015 na hakitarudi tena

    Bro, itakuchukua muda kuelewa. Kwa taarifa yako tajiri huwa hafahamu kuwa anafilisika.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mtatiro amkubali Slaa

    Huyu Mwigulu N, niliambiwa akiwa chuoni alikuwaga mwana chadema. Lakini alipomaliza chuo akarubuniwa na mafisadi wa iramba. source udsm room mate wake.
  5. M

    JamiiForums Tanzania M4C yaingia Iringa Mjini Jan 03, 2013

    Ni vema M4C ikapitia sehemu za vijini kote Tanzania. Kwani sehemu za vijijini ndio chimbuko la mabadiliko ya kweli.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zitto afunga mjadala kuhusu yeye kugombea urais

    Kaka, respect you
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe adaiwa kuficha ‘madudu’ Karatu

    Inabidi tuu wapate cha kusema kila siku ili siku ipite.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mgeni wa ITV Bulembo alivyoisakama CHADEMA mwanzo, mwisho

    Hawa Vilaza sijui huwa wanatokea wapi. Huyu jamaa ni mtu wa kutokwa mapovu siku zote. Sina uhakika kama necta ya form two alivuka.
Back
Top Bottom