M4C yaingia Iringa Mjini Jan 03, 2013

M4C yaingia Iringa Mjini Jan 03, 2013

Msiisahau gesi maana inaondoka hiyo waelezeni wananchi ukweli asilimia 90 inakwenda China maana magamba tayari walishakula adivansi
 
ushauri:m4c tumieni mda mwingi kutembelea vijiji na vitongoji kuliko miji kueneza elimu kwa wananchi wasio na fursa hata ya kusoma magazeti na hata kusikiliza vyombo mbalimbali vya habari ili wajue mambo mbalimbali yahusuyo taifa na mustakabali wake.
Napongeza juhudi za m4c lakini ongezeni kasi zaidi vijijini !!!!!!
 
Twaomba mikutano isitumike kuwashambualia polisi, isije ikatokea kama ya Marehemu Mwangosi

Utawala unaokufa unatumia watu wafu kifikra kutawala.....najua hata cha nazi mmemjaza makamasi haya!!!!

RIP Mwangosi.
 
Ni mwendo mdundo,juzi nilikua mafinga yaani kule scarf na bosholi za chadema ni kama sare ya mji!

Na Mafinga pale nashangaa M4C haiendi vjana wanataka sana kusikia neno lkn cjui ratiba za cdm zikoje.Kimsingi wilaya ya Mufindi hasa kaskazini wakipiga mikutanao ya kuamsha watu jimbo liko wazi kabisa 2015
 
Back
Top Bottom