braza kapaniki ila kamchana kiutuuzima Roma so wanachotaka jamaa aonekane yuko upande upi wa chama ili wajue kumfunga miguu kwakua yeye anatumia mziki kufikisha ujumbe wa wananchi bila kuegemea upande wowote so wananchi wanaupokea kama umetoka kwa mwenzao ndipo kaulizake zinaanza kuwatisha...
kosa la kiufundi lililofanyika kwenye uchaguz 2015 nipale viongo watu waliokua wamewaona dhaifu kuhusika au kushiriki kumleta kiongoz mpya ...alafu patokee miujiza uyo kiongoz mpya awetofaut na alete mabadiliko yatakayo onyesha udhaifu wa aliyepita .......hili swali au hii hali itaendelea mpka...
sim na TV zimefanya watu wawe na uwezo mdogo wa kufikiri nandomana watu wengi wamekua na maisha yakuigiza igiza MTU akiwa na msongo wa mwazo badala kukaa kutafakar ili apate njia yakutatua matatizo yke anaamua chukue sim au a check TV yke eti ili akili iwe sawa na ndo mana akipandishiwa bei...
yani unafikiri unaweza kunielewa nikikwambia piga kaz acha kulalamika unajua kuanza kulili kuangalia TV ni ugonjwa sijui kama unafaham hilo sijui watoto wataridhi nn hpo
Mimi katika hili nimepata kujiuliza kwa nini ccm yazamani inayo itwa ya asili inahofu au hawaipend ccm hii na ikumbukwe wananchi pia wameitokea kutoipenda ccm asili lakini bado hawaikubali sana ccm hii ...hili nifumbo ambalo linahitajika kupata ufumbuzi ili tuweze kuvuka kama taifa
tatizo linalo ikumba ccm kwa xx nafikiri ni tamaa ya madaraka ccm hii mpya inavyo jinasibu kua nisafi tofauti na ile ya zamani niuongo mtupu ndomana imejaa uoga nakushindwa kufanyamambo hadharan uku ikiweka vitisho vingi ....so watanzania tusiumize kicha kwasababa hakuna aliwahi kuuficha ukwel...
tatizo linalofanya shule isionekane nichanzo cha mafanikio huku ikiwa mafanikio yana itaji maarifa na shule inatoa maarifa ni kwa sababu...binadam hufanikiwa kwa kufanya kitu anachopenda ndipo unakutana natatizo la shule zetu kutufundisha ilimrad bila ata kumuelewa mwanafunzi anapenda nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.