Recent content by masaumbe

  1. M

    Bodi ya Kahawa Tanzania inavyowaibia wakulima wa kahawa

    Huyu Kumburu naamini wizara ya kilimo inamwogopa sanaa au pengine kuna mausiano ya moja kwa moja na Waziri Chiza,Kipindi cha nyuma Waziri Prof Magembe alianza kumchukulia hatua lakini Gafla alibadilishwa wizara,Adolph kumburu anamatatizo mengi sanaa,Ameleta Ukabila na manyanyaso mengi sana Hapa...
  2. M

    Bodi ya Kahawa Tanzania inavyowaibia wakulima wa kahawa

    Bodi ya Kahawa (T) ni shirika la umma ambalo baadhi ya majukumu yake ni:- · Kuishauri serekali juu ya kanuni bora za maendeleo ya zao la kahawa Tanzania · Kushughulikia uzalishaji na usafirishaji wa kahawa ndani na nje ya Tanzania · Kulinda maslahi ya wakulima wa...
  3. M

    Wateja wa mbaazi

    Nimekusoma Mkuu,Kilimo Kinalipa sanaa,vijana tuchangamkie Fursa.
  4. M

    Wateja wa mbaazi

    Habari wana JF,naomba msaada wa kuelekezwa au kuambiwa wapi naweza pata wateja wa Mbaazi hapa Dar es Salaam,Zipo 32 Tani,No yangu ya simu ni 0717332652. Shukrani.
  5. M

    Matokeo ya tra ass. Accountant

    Hongereni sanaa wote
  6. M

    Napenda ngono kupita maelezo

    Habari za Jioni,mimi ni kijana wa Kitanzania ambaye nimeanza mapenz nikiwa darasa la sita,nimeishi na maisha ya kupenda Ngono kwani nimekuwa na wanawake tofauti tofauti,sasa hivi nina miaka 26,na nimeshatembea na zaidi ya wanawake 100+,kwa hii hidadi najiona kama uzinzi wangu umezidi,bado na...
  7. M

    Assistant auditor tanapa

    Habari wana JF,kwa wale ndugu zangu mnaokumbuka drama la sakata la Aptitude test tulifanya pale Uhasibu kwa Post ya Assistant Auditor,Napenda kuwahakikishia na kuwapa habari za kweli,NBAA walicheza mchezo mchafu sanaa,kuna vijana ambao nawajua na najua wazazi wao,Wazazi ni vigogo wakubwa tu...
  8. M

    Net Pay TZS 960,000

    Natanguliza hongera zangu kwa wale ambao watakuja kufanikiwa kulipwa tzs 960,000 pale tra,wakipita aptitude test na interview. Good be with you all
  9. M

    TRA Assistant Accountant

    GPA calculation involves a lot of things,GPA ya udsm huwezi kuilinganisha na ya Mzumbe au Muccobs,Mzumbe wanatumia Formula,B+ ya 69 ya Mzumbe ni sawa na A udsm au TAA due to difference in calculation of GPA,So it does not matter either you have gettleman or first class,first degree without a...
  10. M

    G4s vacancies

    Niliomba any post available,either Assistant Auditor,Accountant/Finance coz nimesoma Baf,so today ndio wameninyanyulia waya,sijuhi kama hawa jamaa wakoje,office zao hata sijuhi ziko wapi?
  11. M

    G4s vacancies

    Habari wana JF,ndugu yenu kesho nimeitwa G4s for an Interview,Hii company sijuhi chochote kuhusu wanavyofanya recruitment zao,Naombeni msaada wenu ndugu zangu.Ajira ni ngumu tupeane maujanja
  12. M

    TRA waanza kuita: Ass/Accountant post

    Re: Invitation to attend Employment Interview for the post of Assistant Accountant Please refer to your application for employment as an Assistant Accountant with Tanzania Revenue Authority (TRA). We are pleased to inform you that you have been selected to attend written...
  13. M

    Ajira Azania Bank usijiangaishe

    Wazee,Azania ina watu wake,mnakaa nyumbani mnaangalia big brother Africa,badala ya Volunteer??? Kazi humfwata mwenye kazi pamoja na Sala nyingi,GPA is not an issue sanaa if ua above 3.0
  14. M

    Ajira Azania Bank usijiangaishe

    Huyo Rafiki yako aliyepigiwa simu na Legal Officer,Endapo atapata kazi Azania,basi naomba wanajamii msiniamini Tena hapa Jamvini,Ukweli ndio huwoo,Licha ya yote hayo,kaka yangu ni branch Manager
Back
Top Bottom