Recent content by masanzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je,ni UDOM pekee katika mashindano ya ICT kwa vyuo vya Tanzania?

    Andaeni competitions nyie tuje tuwapige hapo hapo jalalani kwenu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je,ni UDOM pekee katika mashindano ya ICT kwa vyuo vya Tanzania?

    Harf kila siku kwenye ICT competitions wanakupiga chini sio
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je,ni UDOM pekee katika mashindano ya ICT kwa vyuo vya Tanzania?

    Bora chuo cha kata kuliko jalalani it means kumejaa uchafu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo Bora vya IT Tanzania (Upande wa Practical Skills)

    Sasa kwenye hizo ICT na cyber competitions mbn mnashindwa na UDOM kila siku na hao maprofessor?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je,ni UDOM pekee katika mashindano ya ICT kwa vyuo vya Tanzania?

    Ndo hivo waache visingizio competitions zinaarika vyuo vyote washiriki ila unakuta chuo hakina mwamuko wa mambo ya tehama wanakimbizana na assignment tu wapate vyeti ila UDOM - CIVE wao wenyewe wanajiandalia mashindano yao na kujiweka tyr kwa mda wote.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je,ni UDOM pekee katika mashindano ya ICT kwa vyuo vya Tanzania?

    T Taarifa wanapata vizuri sana sema kuna michujo vyuo vingi vinatoka hatua za awali sana CIVE wako serious wao wenyewe wana competitions za hapo hapo chuoni
  7. M

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshwaji wa Vyeti vya Wahitimu Chuo Kikuu Mzumbe (Kampasi Kuu)

    Vyuo vya kibongo majanga hayaishi
  8. M

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi TAKUKURU

    Luten ya maana mwenye nyota mbili ndo unamlinganisha na kamishina kweli luten si sawa kuruta tu wanalinda mageti huko jeshini ulizia vzr vyeo vya watu usikurupuke ficha ujinga wako
Back
Top Bottom