UTEUZI: Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi TAKUKURU

Naona umeshindwa kuona logic ya comment yangu.
Kwa vyovyote vile cheo cha Brig Gen ni kikubwa kijeshi ukilinganisha na Comissioner.
Kumbuka kuwa Taasisi ya Takukuru ilikuwa ikiongozwa na Brig Genera Kamazima hapo nyuma.
Kimsingi huyu Brig Gen Mbungo amepewa majukumu madogo kulingana na cheo chake, na kuwa chini ya mtu aliye chini kijeshi.
Hii inaweza leta figisu figisu!
Hayo ni madaraka yanaghusa zaidi ufanisi katika carrier husika ondoa mawazo yako ya kuona kila alipo mwanajeshi basi yeye ni mkubwa kuliko wengine wanaomzunguka.

Ingekuwa ni hivyo basi hata mawaziri wao wangekuwa wanajeshi wenzao mbona yupo Hussein Mwinyi sijui hata Jkt alienda lakini wanampigia saluti jezi zima, wakienda kwa Makonda pale ILALA BOMA watapiga saluti tu akiwemo na mkubwa wao kabisa.

Serikali ni pana usijenge superiority na jeshi. Jeshi...ukafikiri wao wako juu ya kila mtu wale ni watumishi wa uma kama walivyo watumishi wengine wa uma, wao walichagua kazi hiyo na wengine walichagua kazi zingine mwisho wa siku bosi wao wote ni Rais na ndiye aliyeamua kumpa ukubwa wa Takukuru Mlowola na huyo mwingine kuwa msaidizi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni madaraka yanaghusa zaidi ufanisi katika carrier husika ondoa mawazo yako ya kuona kila alipo mwanajeshi basi yeye ni mkubwa kuliko wengine wanaomzunguka.

Ingekuwa ni hivyo basi hata mawaziri wao wangekuwa wanajeshi wenzao mbona yupo Hussein Mwinyi sijui hata Jkt alienda lakini wanampigia saluti jezi zima, wakienda kwa Makonda pale ILALA BOMA watapiga saluti tu akiwemo na mkubwa wao kabisa.

Serikali ni pana usijenge superiority na jeshi... jeshi...ukafikiri wao wako juu ya kila mtu wale ni watumishi wa uma kama walivyo watumishi wengine wa uma, wao walichagua kazi hiyo na wengine walichagua kazi zingine mwisho wa siku bosi wao wote ni Rais na ndiye aliyeamua kumpa ukubwa wa Takukuru Mlowola na huyo mwingine kuwa msaidizi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mteule yeyote wa rais anaweza kupigiwa saluti kwa kuwa ni mteule wa rais. Saluti sio mamlaka, ni salamu tu na wala sio lazima.
 
Kuna mtu humu alitaka kujua CV za Mkurugenzi mkuu wa Takukuru hizi hapa;-Bachelor of Laws with honors (UDSM), Masters of law, Birmingham City University (UK) Masters in Security and Strategic Studies (NDC)Wakili mwandamizi mkuu wa Serikali, Advanced studies in Combat and military intelligence.
 
Yuko vizuri. Ila usirudie tena kuleta u-vyama kwenye hoja kama hii. Hata tusio na vyama tunayo haki ya kufahamu wasifu wa Mkurugenzi wetu Mkuu wa TAKUKURU.
 
Kuna mtu humu alitaka kujua CV za Mkurugenzi mkuu wa Takukuru hizi hapa;-Bachelor of Laws with honors (UDSM), Masters of law, Birmingham City University (UK) Masters in Security and Strategic Studies (NDC)Wakili mwandamizi mkuu wa Serikali,Advanced studies in Combat and military intelligence
Chadema wakimchukia mtu huomba CV yake. Watuwekee cv za Mbowe na sugu hapa.
 
Yuko vizuri. Ila usirudie tena kuleta u-vyama kwenye hoja kama hii. Hata tusio na vyama tunayo haki ya kufahamu wasifu wa Mkurugenzi wetu Mkuu wa TAKUKURU.
Umeufyata tu, mwenye haki ni yule anaemlipa mshahara, we ni mpiga kelele tu.
 
Kuna mtu humu alitaka kujua CV za Mkurugenzi mkuu wa Takukuru hizi hapa;-Bachelor of Laws with honors (UDSM), Masters of law, Birmingham City University (UK) Masters in Security and Strategic Studies (NDC)Wakili mwandamizi mkuu wa Serikali,Advanced studies in Combat and military intelligence
CV yake inatusaidia nini sisi wananchi? anakimbizana na rushwa za elfu 2 anacha akina Lugola
 
Back
Top Bottom