Recent content by masanzagu

  1. M

    JamiiForums Tanzania IPI simu yenye camera nzuri kuliko zote?

    1: Google Pixel 3 2: iPhone X 3: Samsung Galaxy S9 plus pia Huawei P20 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada neno odds maana na matumizi yake

    Anhaa ni Uwezekano wa kuwa kitu kitatokea au nafasi ya kuwa jambo moja/fulani litatokea katika jambo tofauti. Ni kama probability Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu virefu vya baadhi ya maneno yaliyofupishwa

    E.g= Example Given I.e= in essence Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada neno odds maana na matumizi yake

    Kwa kiswahili ni TABIA MBAYA. Lakini pia sijajua limetumika wapi kwasababu kwa kiingereza Lina maana nyng. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maana ya neno ushoroba

    Neno ushoroba Lina maana mbili 1. njia nyembamba baina ya kitu na kitu au nyumba na nyumba. 2. sehemu nyembamba katika nyumba baina ya vyumba vinavyotazamana. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu nifundisheni maneno magumu ya kiswahili ambayo tunapaswa kuyaongea lakini hatuongei. Sitaki kuwa mjinga wa Lugha hii tamu

    Kwa kweli katika kiswahili hilo neno sanuka kuwa ni smartphone sijawahi kuliona au hilo simujanja ila neno ninalolijua na lipo kwny kamusi ni SIMUMTELEZO Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hawa 'tomboys' huku Iringa ni janga la kimkoa au?

    [emoji1787][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom