Nimesikiliza wosia wa mtangazaji nguri ndg yetu mpendwa hasan m. hasani sijasikia tatizo lililoperekea kifo chake, kwa anae jua anijuze, maana kila ninaemwambia kuhusu kuondokewa kwa ndg yetu huyu ananiuliza kaugua nini nakoswa jibu lakini hata mimi nahitaji kujua pia.
Ha ha ha ! Ulichelewa kuliona hilo. Mimi nitabaki kuwa ccm mpaka tutakapo pata chama mbadara cha siasa.
Kiukweli ccm niliichukia sana kuanzia utawala wa awamu ya tatu, awamu ya nne ndo nikaudhika sana sana kiasi cha kuiamini chadema na nikavaa gwanda.
Chadema ikaniudhi baada ya kumfukuza zzk...
Kiujumla wizara hii bado kunashida kubwa sana! Mfano kampuni inatangaza kuuza viwanja kwa bei ya 75000 kwa mwezi ndani ya miaka mitatu, lakini wanakwambia baada ya kumaliza kulipia mteja atalazimika kulipia gharama za kufuatiria hati wizarani lakini gharama hizo hazitajwi.
Pili... mteja...
Punguzeni kumshabikia kubenea na kulikebei gazeti la mwananchi.
Kifupi ni kwamba kubenea ataondoka chadema kwa stairi ya÷
1.meya wa kinondoni
2.meya wa Iringa
3.meya wa mbeya
4.mh.kom na baadae 30
Kiujumla chadema hakuko shwali! Wanao kipigania chama kwa sasa niwanufaika wa rudhuku tu.
Nipeni...
Acheni Mungu aitwe mungu!
Marekani alimzuia makonda kwenda USA mungu akawapiga corona nawao wakajipiga pini zaidi ya lile la makonda na vifo juu.
Wakati wanahangaika na corona WB wakaidhinisha mkopo wa zaidi ya 1.2 tillion!
Hawajakaa sawa mboe nae covid 19 , hapo nchi shwaaaari.🤣🤣🤣
Tigershark,
Mtapata taabu saaaana mkuu! SHETANI HAJAWAHI KUMSHINDA MWENYE HAKI, zitto mwenyewe katoa pongezi kupitia twiter! Naubaya sasa nayeye zitto yupo copyd.
Niaibu ya mchana kweupe, naitakuwa moja ya siraha yakumpigia zanziber na kigoma.
Hiki chombo nichakuangalia sana! Nawapinzani hizi ndio zilikuwa hoja za kuzungumzia sasa badara yakukaa kutengeneza maandamano na vurugu!
Mfano.
1.loan board
2.Nyongeza ya mishahara
3.Bima ya afya
4.Bill za maji
5.Huduma za afya
6.Maripo ya wastaaf, uhamisho,posho za kujikim nk.
Mambo haya 6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.