Recent content by masanjale

  1. M

    Katibu Mkuu Kiongozi Vs. Waziri Mkuu, nani mwenye mamlaka/mkubwa kwa mwenzie?

    Yeye ni mkuu wa utumishi wa umma na majukumu yake yameainishwa kwenye sheria ya utumishi wa umma makatibu wakuu wote wanateuliwa na rais lakini wanaripori kwa KM kiongozi
  2. M

    Mke wangu kanibambaa na Kondom moja, sasa anataka kujua mbili zilikwenda wapi

    kuwa mpole atakusamehe tu mi nilimkuta wangu na alikuwa kazitumia zote .sikutaka hata aanze kunipa utetezi wake wa uongo alivyoondoka kwenda job hakurudi eti anaogopa nikaenda kumfuata alivyotaka kunidanganya nikamwambia tutaongea siku nyingine for today no mwenyewe alipiga goti since then ni...
  3. M

    Bsc & Msc. Bioethics

    ukisoma bio ethics unaweza kufanya kazi kwenye taasisi za research za afya hospittal ila hasa kufundisha kama ni masters nafundisha bio ethics ni cadre nzuri na watu bado sio wengi.
Back
Top Bottom