Beira Boy,
Kama kuna mtu ananunuliwa kutoka chama cha upinzani na anakubali basi sioni sababu ya kuwaamini wapinzani. Kama waweza nunuliwa na hela za madafu unakubali je dollar ikitumika lazima wauze nchi hawa.
Aliyekataza vyama vya siasa kushiriki uchaguzi siyo Rais bali aliyetoa tangazo tarehe 07.11.2019 ndo amevipiga pini vyama vya watu fulani wajanja kushiriki uchaguzi. Kushiriki au kutoshiriki uchaguzi is also a democracy.
Usikitike kwa lipi wakati ufinyu wa kufikiri wa viongozi wa upinzani ndo umesababisha kuwanyima wananchi uhuru wa kuchagua. Tarehe 15.10.2019 walitoa tamko la kutosusia uchaguzi. Huyo aliyetoa tamko la kutosusia then tarehe 07.11.2019 kaikana kauli yake tena kwa kuwatangazia Watanzania kususia...
In Tanzania we need to politicalification our Parties as it looks like we have got political parties but in real sense the vice versa is true. People are owning these parties for their benefits.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.