Mzee Wa AZAM mwenyewe anawasikiliza Tu cheti chake cha elimu ya juu kasomea Amazon utalii na kwenye mijadala ya vikundi alikuwaga anasinzia Tu. SAA hizi ametangaza kazi za mameneja Wa uuzaji mikate ya bofulo. Sifa uwe na GPA ya 3.4 nakuendelea ya udsm na uwe na CPA. Mshahara mnono.Hapa huenda...
Ni shida kuwa na wasomi wasiojulikana, Hoja zao pia hazijulikani, nadhani mtoa mada amekeketwa si bure. Ulimwengu Wa vyeti shame on u. Prof. Lipumba kasoma udsm kafundisha udsm ni bonge LA prof.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binti yangu kasoma PCB amepata GS E Phy D Ch D Bios D BAM D, alitaka a some kozi za afya lkn Kwa qualification entry za TCU imegoma najiuliza asome kozi gani anayoweza kuajiliwa au kijiajiri baadae? Tafadhali msaada wenu WanaJF
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Itabidi na Mwadui liwe jimbo LA upinzani Tena tuanzishe chama chetu (cha jumbo letu) Tu. Na jina LA chama kiwe ni Chama cha Wabheshi Mwadui (CHAWAMWA) Makusanyo yote ya mgodi kwetu
Acha ujuha na ubazazi wa kufikiri na kukejeli wabobezi wa lugha yetu adhimu ya KISWAHILI, kasumba za kijinga kudharau chako na kuthamini cha jirani yako
Ikiwa wa hadhiri walioko vyuo binafsi ni zao la udsm, na wkt huo inadai vyuo hivyo havina ubora ni wababaishaji, swali la kujiuliza wababaishaji hawa wamejifunza wapi ubabaishaji huo, je kinara wa ubabaishaji huu ni nani?
Ni kweli "heri nyumba ya matanga kuliko nyumba ya harusi". Hata hivyo, mimi nadhani wasaidizi wa rais ni wazembe wangeweza kumpangia rais ratiba ambayo ingemwezesha rais kuhudhuria matukio yote. Kama iliwezekana kufungua majengo ya udsm na kuzindua ujenzi wa magomeni kota matukio ambayo yaliisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.