tulia weweMe hata cjaelewa serekali inanisaidiaje maana kila siku naona wanakuja kuchukua kodi tu kwangu. Halafu nikihitaji huduma za kijamii bado nazilipia sasa ndo nn
Hujielewi wewe..hakuna kitu serikali yako inatoa bure! Road licence kazi yake nn? Units za luku unapewa bure? Hospitalini unatibiwa bure? Elimu unasoma bure? Jiulize vizuri dada ndo uje mbele za wanaume kutema pumba zako.tulia wewe
barabara unalipia
hospitali zmejengwa na nani
shule je
miundombinu ya umeme je?
nyie ndo watu mnaotumia ma.tako kufikiria baada mtumie vichwa mnavyotumia kujaza habari za kina mbowe tuHujielewi wewe..hakuna kitu serikali yako inatoa bure! Road licence kazi yake nn? Units za luku unapewa bure? Hospitalini unatibiwa bure? Elimu unasoma bure? Jiulize vizuri dada ndo uje mbele za wanaume kutema pumba zako.
Hilo swali muulize Ndugai.nyumbu bwana hivi serikali ikiyaacha hayo majimbo mnaweza kuyahudumia
Linalosikitisha zaidi ni kwamba wapo Watanzania wenzetu ambao kwa upumbavu wao wanaunga mkono kauli za hovyo, za kijinga na za kitoto kama hizi. Ni kwamba mswada wowote unaofikishwa bungeni na kupigiwa kura bungeni unatakiwa upite kwa asilimia 100% la sivyo walioupinga mswada huo inabidi watengwe.Spika alitema statement ya kijinga haijawahi tokea toka wakati wa uhuru.
Naona unamendea ile nafasi moja iliyobakinyumbu bwana hivi serikali ikiyaacha hayo majimbo mnaweza kuyahudumia
Wewe ndio great thinker wa mwezi huu
Sijajua ni kwa nini viongozi wetu wanajua kujisahau haraka hivi punde wapatapo madaraka!Na ndio maana hawataki katiba mpya itakayo toa fursa ya kushukhulikiwa!Kwa kiongozi wa mhimili mkubwa kama bunge,hiyo kauli ni ya kibaguzi kabisa!Na by the way ameamua tu kuthibitisha kile wanachofanyiwa watz walioko mjimbo ya upinzani,kwani hela ya miradi ya maendeleo hawapati na wakipata wanapata kidogo tena kwa kucheleweshewa!hata ile hela ya mifuko ya majimbo wameanza kukatwa!Lkn wanasahau kuwa karibu halamashauri na manispaa zote zenye vyanzo vingi vya mapato ya serikali yako chini ya upinzani ambavyo wangeweza kujiletea maendeleo ya kutosha kupitia vyanza hivyo kama wangeachiwa wajitegemee!Kama Mh. Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania alishauri Serikali isipeleke pesa za maendeleo katika Majimbo ya wale Wabunge waliopiga kura za hapana katika Bajeti ya mwaka 2017/2018 basi tunamuomba kwa kauli hiyo hiyo aliotumia basi pia awaambie Serikali wasiende kukusanya kodi kwenye Majimbo hayo kwa mwaka 2017/2018 simple like that...!!!
nkipata nakukaribisha uwe mke mdogoNaona unamendea ile nafasi moja iliyobaki
Au Tu aseme kuwa majimbo hayo kuanzia sasa SI sehemu ya TanzaniaIt is true.....
Kama kauli ya 'kibaguzi' ya Ndugai iweze kufanya kazi, ingebidi ajiongeze kidogo kwa kusema majimbo hayo ambayo hayatapata mgawo wa bajeti ya maendeleo kwenye maeneo hayo, wananchi wa majimbo hayo pia hawatapaswa kulipa kodi ya aina yoyote....
Why? Si wanalindwa? Si wanatum0ia barabara za TANU na CCM? Na kusikiliza Radio Tanzania na ITV zinazotumia umeme wa CCM. Na watoto wao wanasoma shule za serkali na wakipata mimba wanatibiwa zahanati za Chama. Kodi ni lazima. Ni kutii sheria bila shurti.Kama Mh. Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania alishauri Serikali isipeleke pesa za maendeleo katika Majimbo ya wale Wabunge waliopiga kura za hapana katika Bajeti ya mwaka 2017/2018 basi tunamuomba kwa kauli hiyo hiyo aliotumia basi pia awaambie Serikali wasiende kukusanya kodi kwenye Majimbo hayo kwa mwaka 2017/2018 simple like that...!!!
Hujaeleweka unamjibu nani , ndugai au mtoa madanyumbu bwana hivi serikali ikiyaacha hayo majimbo mnaweza kuyahudumia