Recent content by Masaki road

  1. Masaki road

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemuomba donati mke wangu ameninyima, naombeni Ushauri

    Ndo ukweli huo
  2. Masaki road

    JamiiForums Tanzania Matukio Halisi Yanayothibitisha Uchawi – Utashangaa!

    Kuna mwanakijiji kanipa story Kuna wamama wachawi wanakuja nyumbani kunichezea Hadi wanazishika pumbu ila sijawashuhudia mm
  3. Masaki road

    JamiiForums Tanzania Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

    Saws
  4. Masaki road

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu kafariki ila sijashiriki kumzika kwakuwa alishiriki dhambi ya kuchoma nyumba yangu

    Uchunguzi ufanyike huenda una la kusema wewe
  5. Masaki road

    JamiiForums Tanzania Njia 5 Za Kuvutia Pesa Kwenye Maisha Yako

    Halo Kwa ushauri mtatuua mbwa nyie
  6. Masaki road

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa miaka hii ni changamoto

    Yaani ulikula nyara za serikali na unajitapa shenzi na pole yako tena
  7. Masaki road

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa miaka hii ni changamoto

    Wee chizi utakuja kujichomesha siku Moja unahisi hamna wa kukupata apa. *OHOO!
  8. Masaki road

    JamiiForums Tanzania Nahitaji huu uzi nimpate mtu anaemiliki kuanzia 500m kuna experience nahitaji kushare nae!

    Haka Nako ni kadalali kalikomalimaliza chuo kamesoma psychology uchwala na hakataki kujishusha japo kanajijua ni kamaskini. Kanataka kaambulie Hela ya umachinga kariakoo dar
  9. Masaki road

    JamiiForums Tanzania Nipo Dar, biashara ipi inalipa kati ya kukaanga miguu ya kuku na kukaanga mihogo?

    Kwanini usije Lindi huku tulime kwanza alafu urudi badae mtaji uuongeze
  10. Masaki road

    JamiiForums Tanzania Ufugaji na kilimo unalipa sana

    Duh Uzi wa miaka kumi iliyopita Toka 06/01/2014 lkn kama wa Leo tarehe 26/08/2024 Atari Ee Mungu nisaidie na mimi niwe kama wao 🙆
  11. Masaki road

    JamiiForums Tanzania Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

    Kwenye hilo chimbo
  12. Masaki road

    JamiiForums Tanzania Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

    Bado sijachelewa
  13. Masaki road

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu maji

    Saiv Lina bei gani gunia Kwa taarifa ulizonazo
  14. Masaki road

    JamiiForums Tanzania Nimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne

    Kweli wewe ni nyoko ,,Sasa wewe unaiona million 2 per month ndogo wakati Kuna watu kuzipata hiyo ya PAMOJA ni utàta.... Umejitaid sana kutunza mshahara wa take home ya 700k unaishia 1M for Three months
  15. Masaki road

    JamiiForums Tanzania Sababu za kushindwa kufikia dhamira yangu

    Pole sana,,Cha kukushauri kidogo ni jitahidi ulizike na ulichonacho usijilinganishe na marafiki zako ukajiona wewe upo slow kiutafutaji ,, Madeni yaepuke,,weka vitu vyako Siri,, omba Mungu Kwa Imani yako Mambo yatakaa sawa
Back
Top Bottom