Recent content by masafi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kuhusu AC je ni kweli zinanyonya umeme hadi unit 35 kwa siku?

    Mimi mwenyewe nataka nichukue LG dual inverter 12000 btu nataka niwashe kwa masaa yasizidi 8. Naamini umeme wa 2000 unanitosha kwa siku
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

    Kama huna D 4 kuwaelewa pixel ni ngumu sana, ila jamaa wako poa sana. Samsung kama Infinix tu Kila siku wanatoa simu na baada ya mwezi simu inapiga mstari
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dah, aisee Warangi wazuri sana

    Wambulu ni wazuri zaidi kuliko warangi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Google wanaongeza teknolojia za kuwakwaza wezi wa simu kwenye Android

    Hapo wataupiga mwingi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unafurahia channel zipi za DSTV?

    Sisi wa canal tunakula maisha
  6. M

    JamiiForums Tanzania Blender

    Mi ninayo lakini itakuwa feki nilinunua 55,000
  7. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Tv Guard na Stabilizer katika matumizi ya umeme majumbani

    Mimi tv yangu na music system namtumia ups. Sina wasiwasi hata kidogo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Soundbars vs Subwoofer vs Hi-Fi

    Hifi kuifanya sound bar ni ngumu ila sound bar kuifanya hifi ni simple tu. Achana na maneno ya watu we chukua sound bar za watt kuanzia 1000.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Mabasi ya NewForce na Sauli hatari, kila mmoja anataka kukaa mbele kivyovyote

    Huo ni uchonganishi. Video za miaka ya nyuma unaleta Leo!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Google Pixel 8 Pro iko vizuri kuliko nilivyodhania

    Zipo vizuri ukipata mpya. Sasa watu wananunua used wanaishia kulalamika. Ni simu Moja matata sana Haina mambo mengi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kamera nzuri itakayonifaa

    Kanunue Google pixel, ila iwe mpya usinunue used
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vidonda vya tumbo mpaka kooni

    Yogurt, limao Tangawizi hivi sio vya kutumia. Anawadanganya
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya TV ya Hisense ya boksi jeupe na ya boksi la kaki?

    Ningekua ni mimi ningeachana nao hao hisense iwezekani watuchanganye. Km vipo kacheki TCL TV.
Back
Top Bottom