Kumpa mtu overqualified nafadi ndogo ni kumfanya asiwe na morali ya kazi?
Haiitaji degree kufundisha watoto wetu, wanahitaji walim wa kawaida sana tena wenye uelewa wa kawaida ili kuendana na bongo za watoto
Mimi mume wangu Kila mara namshauri akope, gari, viwanja....hata asipokopa sjui wapi anakopeleka hizo hela
Kuna wkt hela haiwekeki hasa sisi wenye familia kubwa....dawa ni kuikata hela huko inakotokea
Tusisahau kujenga ila KUFURAHIA MAISHA MUHIMU PIA....tembelea matako uyapendayo....
Akikutajia asubuhi Mimi nitakwambie kama ni kweli ama si kweli.
WAACHE KUTIANA UPEPO HAYO MAHESABU TUNAKAGUA KILA SIKU, Narudia kusema nimeona mishahara ya 80M kwa mwezi, ila kwa wataaalam kwelikweli,
Kibongobongo ni watu wachache sana wanaolipwa 12M private.
Nitajie kampuni ambayo robo ya...
Nipo kwenye TAASISI YA KUKAGUA MAHESABU, hesabu za kampuni nyingi zinapita machoni kwangu
Nasema MSHAHARA WA 12M hawalipwi wapumbavu ni wataalam maalum.
Hakuna mtaalam maalym mwenye akili na uwoga wa kuacha 12M akafuatwa 2M serikalini.
Sikatai watu wanalipwa 36M ila ni watu haswa sio wapumbavu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.