Recent content by maryne

  1. M

    Kwa nini haya hutokea?.

    lt's true inaboa sana.Mwingine anakuambia nliiona text yako,but i was buzz yani.Hivi ulinitext?.wakati marafiki,anakujibu fasta hapo hapo.Mi nkiona dalili hizo.namkwepa kama ukoma.
  2. M

    Nafasi za kazi TRA

    asante kwa updates
  3. M

    Unawasiliana au mnawasiliana?

    ASHADII I LIKE ur points..Mwingine anakuambia dont text me love MESSAGES,huku akipiga anakuita mpenzi,but in text no..hahaha..why shuld you save namba ya mtu kama huyo..IS A CHEATER...
  4. M

    Anahisi Anagundu..

    Hata kama mie,nijue tupo wengi,ukipata zawadi,au kadi au text yangu katambike,bora niwatumie ndugu zangu..
  5. M

    Jf ilinikutanisha na tapeli wa mapenzi

    Mitandao ni mibaya sana katika mahusiano,especially facebuk,unakuta mwanaume au mwanamke ana zaidi ya wanawake au wanaume 6 kwa fb,kila mmoja anampromise mambo kedekede,siku ya siku ikifika kujulikana mwenza mkuu ni nani,jamaa au mdada anaanza kudata,mwishon wote wanakukimbia unabak mtupu,hujui...
  6. M

    Msaada tafadhali

    Anaekupenda hawezi kufanya kitu kama hicho,huyo anakufukuza kijanja,akili kichwan mwako. Mtu anaekupenda hawezi kufanya upuuzi kama huo.
  7. M

    mpenzi wangu ana moyo chuma.

    Inawezekana umemsetia wadada alio wafunika.So anakucheka tu,ulivyopotea njia.
  8. M

    Social Networking/Mitandao ya ki-Jamii...

    Unafikiri anawapenda basi,ni tamaa za mwili tu kutaka kila mwanamke awe wake.Sikatai,kumblock,au kumtoa kwa fnd list yako haisaidii.Pata ushahidi kutoka kwake,akisita sita ujue huyo anakucheat,all in all,mwanaume either mume au mke anayemuheshimu mpenz wake hawezi kufurahia mambo kama hayo,na...
  9. M

    Hivi atakuwa ananipenda au msanii tu?

    Anakupenda pia,just be frank to her.
  10. M

    Kwa nini inakuwa ni vigumu kwa msichana kuamini wewe ni rafiki yake tu wakawaida!

    Very fun.wadada kuwen makini,mshapata jibu kwa data.
  11. M

    Kwa nini inakuwa ni vigumu kwa msichana kuamini wewe ni rafiki yake tu wakawaida!

    ooh.kweli?.hakuna msichana asiyetongozwa.sikubalian na wewe.
  12. M

    Kwa nini inakuwa ni vigumu kwa msichana kuamini wewe ni rafiki yake tu wakawaida!

    Na kuepusha hayo yote,na kama intension yenu siyo kuwa katika mahusiano.mkiona dalili flani zinaanza kujitokeza baina yenu.Achen urafiki mlio nao.
Back
Top Bottom