Recent content by MARWA SOKORO

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zitto, unatuachaje?

    manu Nyie watani zangu wa Kgoma acha mteseke mana mna tabia ya usaliti kupindukia...te te teh.........
  2. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    chadema na ukawa vikifa shda yako nn?
  3. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA chezeni turufu hii jimbo la Serengeti

    Mtatiro ni msaka tonge tu! Segerea wamwachie Mpendazoe! Mtatiro njoo musoma vijijin ugombee mana ndpo kwao!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nyambabe chungulia hapa

    Huku Serengeti kwanza hatuamini km Nyambabe anaweza kufanya uhuni huu,awali niliwahi kusikia njama zake za kumpepenea mtia nia mmoja dhaifu wa Chadema ili kupitia mtia nia huyo dhaifu,Nyambabe aweze kuonwa yy ni zaidi.Nyambambe kwetu cc Serengeti ni aina ya wanasiasa dhaifu kimkakati,kazi yke ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Swali la Kisiasa: Ni Mkakati na Uamuzi Mzuri UKAWA Kuachiana Majimbo?

    iko hv,kwa mfano UKAWA ikiipatia Chadema jimbo la Serengeti,then CDM itaendelea na mchakato wa kumchagua mgombea saihihi kati ya watia nia wake!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM Arusha atangaza kumvaa Lema

    Ithanga ni mkhota,ejuta ejutya hakwe!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

    Huyu Diamond akili zake km Kepten Komba. Ndo mana amenukuliwa akisema Kikwete anajua mengi kuhusu mziki kuliko yeye!
  8. M

    JamiiForums Tanzania CCM wakubali yaishe

    yangu macho!
Back
Top Bottom