CCM wakubali yaishe

mwakaleli83

Member
Mar 19, 2015
10
21
Kufuatia CCM kushindwa na nguvu kubwa ya ushawishi wa Lowassa katika harakati za kumpata mgombea sasa wakubali yaishe na kusema tuache wanachama waamue kuchagua mtu wanayeona anafaa.

CCM wamefikia uamuzi huo baada ya kurudi nyuma na kukumbuka kilichowapata katika uchaguzi uliopita hasa katika ngazi ya ubunge wakitolea mfano kama kilichotokea Iringa Mjini na kule Shinyanga kwa bwana Shibuda na kubaini kilicho wacost ni kulazimisha mtu wanayemtaka wao na sio wamtakae wanachama.

Kwa sasa Lowassa ndie mtu pekee mwenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya chama hivyo kukata jina la Lowassa ni CCM ndio tuseme wamechoka kukaa madarakani.
 
Hata lowasa akisimama kwa upande wa ccm, hatumchagui. Mikoa ya pwani ccm haina mvuto tena. Ccm imeshidwa kuwalinda tembo na faru wetu wa selou game reserve. Tunataka mabadiliko ya kweli. Wanapwani tunaamini mabadiliko ya kweli hayatoletwa na ccm na wala hatukitaki hata asimame nani. atapewa na WAMASAI. njoo uone mikoa ya pwani matawi ya CCM yamefungwa. ..
 
Si amini kama chama katili kama sisiemu kinaweza kupelekeshwa na maigizo ya kifutuhifutuhi.
 
mwaka huu tutaingia mtaani wananchi wote kupinga ccm kuchaguliwa, hata wakimsimamisha lowasa hampati ng'ooooooo
 
Kampeni at work.

Mtoto wa nyoka ni nyoka

Usitegemee kupata mjusi kwenye mayai ya mamba
 
Kufuatia CCM kushindwa na nguvu kubwa ya ushawishi wa Lowassa katika harakati za kumpata mgombea sasa wakubali yaishe na kusema tuache wanachama waamue kuchagua mtu wanayeona anafaa.

CCM wamefikia uamuzi huo baada ya kurudi nyuma na kukumbuka kilichowapata katika uchaguzi uliopita hasa katika ngazi ya ubunge wakitolea mfano kama kilichotokea Iringa Mjini na kule Shinyanga kwa bwana Shibuda na kubaini kilicho wacost ni kulazimisha mtu wanayemtaka wao na sio wamtakae wanachama.

Kwa sasa Lowassa ndie mtu pekee mwenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya chama hivyo kukata jina la Lowassa ni CCM ndio tuseme wamechoka kukaa madarakani.

source please
 
Kundonda Lowasa unhiji?
 
Ndani ya ccm lowasa hana mpinzani. Richmond itaongoza nchi kwa mlango wa nyuma! Watanzania tusipokuwa makini tutalia na kusaga meno!
 
Mkuu,mambo ya ccm waachie wenyewe,kama Ni mwana UKAWA himiza watu wakajiandikishe kwenye daftari ili October tuwakatae hawa MANYANG'AU ktk sanduku
 
Kufuatia CCM kushindwa na nguvu kubwa ya ushawishi wa Lowassa katika harakati za kumpata mgombea sasa wakubali yaishe na kusema tuache wanachama waamue kuchagua mtu wanayeona anafaa.

CCM wamefikia uamuzi huo baada ya kurudi nyuma na kukumbuka kilichowapata katika uchaguzi uliopita hasa katika ngazi ya ubunge wakitolea mfano kama kilichotokea Iringa Mjini na kule Shinyanga kwa bwana Shibuda na kubaini kilicho wacost ni kulazimisha mtu wanayemtaka wao na sio wamtakae wanachama.

Kwa sasa Lowassa ndie mtu pekee mwenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya chama hivyo kukata jina la Lowassa ni CCM ndio tuseme wamechoka kukaa madarakani.
Sasa haya makubwa,ina maana kuwa Makonda kaufyata kwa Lowassa,Nape nae kaufyata kwa Lowassa kwa kumuona kuwa Lowassa amekuwa msafi na ahitajiki kusafishwa tena kwa dodoki kwenye majukwaa.
 
Back
Top Bottom