Ninahitaji mtu mwenye sifa zifuatazo kwa ajili ya kusimamia shughuli za Kilimo katika Shamba binafsi Mkoani Lindi:
Awe na ufahamu na maarifa juu ya kilimo cha mazao ya biashara ya muda mfupi na ya muda mrefu kama vile Ufuta, Korosho na Alizeti
Awe na uzoefu katika kusimamia kazi za kilimo cha...

Hizi ni miongoni mwa Novena zenye nguvu sana kumuwezesha mwenye hitaji la Kazi kufanikisha hitaji lake. Ziombe kwa imani na uchaji.
1. Novena kwa Roho Kumi na Tatu Zilizobarikiwa
Novena to the 13 Blessed Souls
(Jesus & His 12 Apostles)
Oh my 13 Blessed souls so wise and understanding, I ask...
Wapendwa wana JF,
Salaam. Napenda kuwatangazia fursa ifuatayo:
Kama wewe ni msichana, mdada, au mmama na una account Instagram yenye kukidhi vigezo vifuatavyo; basi wasiliana nasi ili uigeuze kuwa mgodi wa almasi. Vigezo ni kama vifuatavyo:
Followers kuanzia 2000 na kuendelea
Posts zinazopata...

Nawashukuru wote waliowasiliana nasi kuitika wito wa tangazo hili. Zoezi limekamilika Kwa mafanikio. Tumefanikiwa kumpata mkulima kutoka Turiani-Morogoro na anaanza rasmi kazi ya kutuuzia hiriki.
Karibuni kwa fursa nyingine zilizobaki. Pia tunahitaji binzali nyembamba, binzali manjano, uwatu...
Ndugu wajasiriamali,
Kwa mkulima mwenye viungo vilivyotajwa hapo juu awasiliane nasi kupitia simu ya mkononi namba 0767-988-173 au barua pepe marukuvanilla@gmail.com
NB: Fursa hii ni kwa wale wenye bei ya Shambani tu!
Asanteni.
Vanilla ni zao linakubali kwenye maeneo yenye mwinuko na mvua za wastani. Linachavua vizuri vichakani au kwenye shamba lenye uvuli na miti ya kutoa support. Ni changamoto kulima vanilla nyikani maana itakuhitaji kutafuta miti ya kutoa support kwa malando ya vanilla. Kwa Kagera na Kilimanjaro...
LAT,
Tayari Maruk Vanilla Farming and Processing Ltd tumeingia Kilimanjaro toka mwaka 2011 kukuza zao la Vanilla. Tunafanya kazi kwa karibu na Chama cha Wakulima wa Vanilla Kilimanjaro (CHAWAVAKI) chini ya Mtanzania mwenye hamasa na maendeleo ya watu-Profesa Nkya. Tunawakaribisha wakulima...
Nimekuwa nikipata walau order mbili kwa mwaka bila kuzifanyia kazi. Mwaka huu tena nimepata kutoka Yemen si chini ya Buyers wawili. Ndo maana nikaona nisidharau bali nichangamkie fursa. Hivyo siwezi kuthibitisha kama soko ni la uhakika na la kudumu au lah! Ila ninavyohisi mahitaji yanaweza kuwa...
Zinahitajika Kontena nne (4) za maharage yenye picha na sifa zifuatazo:
Light Speckled Kidney Bean (long shape)
Ukubwa: 220-240pcs/100g
Admixture 0.4% max // imperfect grains 6% max //moisture 16% max
Kwa mwenye taarifa za wapi naweza kupata mzigo wa kutosha au mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.