Recent content by MARUKENI

  1. M

    Kama Mugabe aliweza kunyang’anywa Degree ya heshima, sitashangaa hilo likitokea hapa nchini!

    Acha kutetea ujinga kwani unawakatisha tamaa watu kufanya tafiti za kutumia akili eti kuongea tu umeshapata udoctor?huo ni upuuzi mtu akae darasani miaka minne na zaidi kusomea we usimame jukwaani dakika tano uwe dr.?shame kama ni hivyo hata mi ni dr kwani nasuluhisha mambo yangu ya ndani na...
  2. M

    Rais Kikwete na Mnyika ndani ya nyumba uzinduzi wa Hospitali ya Sinza!

    Haisaidii kitu kuzomea kwao kwani hawajui wanalolifanya hao wametokea hapo kambi ya fisi na si ajabu ukiwauliza Rais wa Tanzania nani wanaweza kusema ni NYERERE.
  3. M

    Naibu Waziri January Makamba anatembelea Bajaj

    Acheni kudanganya Watanzania mpaka leo hii ni QUATER ya tatu inaisha hakuna hela yeyote imeshatumwa kwenye ofisi za Wizara za SERIKALI kwa Ajili ya shughuli za kimaendeleo .Wataalam wamekaa maofisini wanapiga hadithi tu huku mkiwa DODOMA Mnafanya vikao visivyokuwa na maana yeyote na kujilipa...
  4. M

    Hali mbaya UVCCM: Mwenyekiti mpya akodi mabaunsa sita Dar kwenda nao Dodoma!

    Inaonyesha wanalipwa hela nyingi sana.je wewe ni kiongozi wa watu unamwongoza nani wakati unalindwa na mabaunsa je hao waliokuchagua wanafanya nini wasikulinde?sasa huo ni uvccm je ikifika urais itabidi aagize mabaunsa kutoka marekani.
  5. M

    Lema apeta

    Hauwezi kuichukua kinguvu haki ya mtu ila utaichelewesha tu.watu tunawaweka madarakani kwa ajili ya kushirikiana na sisi katika kuiendeleza na kuitetea pamoja na kulinda maslahi ya nchi yetu lakini wakishaikamata dola wanatuona sisi ni watwana na hatuna haki katika nchi yetu na wanataka tuwaone...
  6. M

    Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

    Nafikiri elimu yako ni kiduchu sana wewe diwani akagawe kiwanja yeye ni afisa ardhi? Au huwaga wao ndo wapima?acha umbea!!
  7. M

    Natamani sana kuhamia CHADEMA.

    ongea point acha kubwabwaja ujinga wako kila mtu akuelewe ulivyo mbumbumbu
  8. M

    Membe: Hatuwezi kuongozwa na Rais mbumbumbu, asiyeweza kujieleza!

    Kujua kujieleza kwa kiswahili na kiingereza je kuna logic yeyote kweli hapo?ina maana ukienda china kuna mchina ataongea kiingereza au kiswahili?nafikiri huyu membe hakusoma riwaya za kiswahili ya kwamba kwa nini kwetu ni kwao na kwao ni kwao?yeye badala ya kuongelea kwamba awe na uwezo wa...
  9. M

    NAGU: Sikushinda uchaguzi kwa fedha za Lowassa

    Nafikiri hadi ifike 2015 watakuwa wameshatoa siri zote.
  10. M

    Tundu Lissu: Rais atengue uteuzi wa majaji haraka iwezekanavyo!

    Je wewe utaishi milele?haya madudu tuyaangalie hadi lini?Kufa kila mmoja atakufa na mwenye haki ataishi milele kwa maana kwamba mchango wake hautasahaulika milele.Tulianza na Mungu,tupo na Mungu na ushindi wetu utakuwa na Mungu.Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Chadema .
  11. M

    Chadema njooni mchukue kadi yenu

    Kweli huyu kilaza ni bomu kabisa sasa hicho chama kinachohamasisha watu wasifanye kazi ulikianzisha wewe?hata siku moja cdm haiwezi kuwashauri watu wasifanye kazi ila kuna chama kimoja kilihakikishia watu ajira na maisha bora kwa kila mtanzania na mwenye macho haambiwi tazama hivyo nafikiri we...
  12. M

    Epicor09 Serikali imetapeliwa waziwazi!!!!!!!

    We sema serikali imeshindwa kukusanya kodi na visingizio vyenu eti epicor 9 tangu mwezi uliopita mishahara tarehe 5 leo hii mnadanganya waalimu eti mnawaingizia malimbikizo uongo kama baba yenu nchi imechoka hiyo hiyo epicor 9 watu wameshakula 10% unaongea nini wewe?eti mnazuia mianya ya rushwa...
  13. M

    Hakuna kigezo wala sababu za CHADEMA kuongozi nchii hii

    Nafikiri huyu kibe hajui anachoongelea anakurupuka kama moto wa kifuu hivi kura 20848,na kura 29558 unaona hapo kweli hicho chama chenu cha mafisadi bado kina nafasi?poleni sana .pili wewe kweli ni ndama unatueleza habari za kilosa huko dongo kuinamama saa hizi bado umelala na hayo makata miwa...
  14. M

    CHADEMA, acheni kuichezea serikali kuweni na nidhamu

    Kweli ukibishana na kilaza jama huyu ritz na wewe utaonekana ni kilaza yahani wewe una serikali yote,halmashauri zote ziko chini yako,jeshi lote la polisi lipo kwako pamoja na watendaji wote wanakupigia magoti wewe na hizo kata zilikuwa mikononi mwako unapishana na mtu ambaye anatumia nguvu ya...
  15. M

    KADA WA CHADEMA ARUSHA AJIUNGA NA CCM: Katibu wa CHAMA AMANI GOLUGWA Hamtambui Kada Huyo

    Mwenyekiti mtendaji hicho cheo ni cha nchi gani? Anafanya kazi gani mwenyekiti mtendaji? Kwa hiyo chadema kuna mwenyekiti wa chama mkoa na mwenyekiti mtendaji mkoa?msikubali kila ujinga unaoandikwa .
Back
Top Bottom