Recent content by martyr2012

  1. M

    Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

    Nadhani ndugu una stereotype. Labda utukumbushe tu kama ulishawahi kusikia kitu cha namna hii tangu COVID 19 ilipotangazwa rasmi kuwa janga mwezi Machi 2020. Hatuwezi kujitenga na ukweli COVID 19 imeondoka na wapendwa wetu. Kama nchi hatukuwa na mkakati wa kitaifa juu ya namna ya kushughulikia...
  2. M

    Zitto Kabwe, Pemba sio Kigoma

    Wewe jamaa ni wa hovyo sana. Kwani Zitto amesema mahali popote kuhusu yeye kuwa mfalme wa Pemba. Think before you write. Maalim alijiunga na ACT baada ya kuona kwamba ndio chama chenye watu wenye akili. Hayo mengine unayoyasema ni ya akili yako ya kipumbavu.
  3. M

    TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

    Subhana Allah brother unafurahia umauti wa Maalim Seif??? Unajua wewe dakika mbili zako mbele utakuwa nani??? Hakuna ujanja wala ujana katika umauti na kifo. Labda kwa sababu wewe ni Paul. Sisi waislam tumeusiwa kumuombea dua ya kheir maiti wetu.
  4. M

    Ushuhuda wa Mchungaji Godwin Chilewa kuhusu COVID-19: Je, tunamficha nani, kwanini na kwa Faida gani?

    Hata amesema uwongo lakini unakaribia kabisa kuwa na ukweli. Mie nimempoteza mke wangu. Na yote aliyoyasema hapa yalipitia humohumo. In fact nilianza mimi kupata maambukizi yenye dalili zinazoshabihiana na andiko lake. Hivyo kama wewe hayajakufika ni rahisi tu kubisha. La msingi serikali iweke...
  5. M

    Haya ndo makombora ya Iran yenye uwezo wa kuichakaza Israel na kuiteketeza kabisa

    Una mapenzi kweli na Israel. Tafuta taarifa sahihi ndugu.
  6. M

    Mwanamke mmoja Marekani afariki muda mfupi baada ya kupokea chanjo ya Corona

    Ndugu vaccines ni vimelea dhaifu vinavyowekwa mwilini ili kuamsha immunity system ya mwili. Ndio maana sasa hivi kuna changamoto ya uwezo wa chanjo za corona kutokana na wadudu kujibadili (mutation). Hivyo wadudu hawa wanapowekwa mwilini sometimes mwili unashindwa kuhimili au unachukua muda...
  7. M

    Israel yajiandaa kuishambulia Iran muda wowote kuanzia leo

    Wewe na Waisraeli wenyewe nani ana taarifa zaidi juu ya uwezo wa kijeshi. Ndugu Israel ameshafanya intelligentsia ya kutosha na anajua kabisa hana ubavu wa kuipiga Iran. Sijui wewe ni wawapi. Vinu vya nuclear vya Iran visingekuwepo kama angekuwa na uwezo huo ndugu yangu. Usisikilize maneno ya...
  8. M

    Israel yajiandaa kuishambulia Iran muda wowote kuanzia leo

    Usiandike kwa mhemko. Mwenzako kaweka facts. Nawe watakiwa kuweka facts. General statements zinazotokana na maneno ya kwenye kanga hayakusaidia. USA mwenyewe amegwaya kwa Iran. Hasara aliyoipata kwenye kambi zake za jeshi zilikuwa babu kubwa. Wanajeshi wake wameingiwa hofu kuu hata ukiwatuma...
  9. M

    Iran yaishikilia meli ya mafuta ya Korea Kusini, Marekani yatoa onyo

    Nadhani una mtindio wa ubongo shangazi. Hivi unadhani Israel ana nguvu hizo kwa sasa. Ongea kitaalam. Ubora wa firing power wa Israel uko chini ukilinganisha na nchi kama Iran. Wewe shangazi kumbuka kitu kimoja tu. USA ilikuwa inatafuta sababu yoyote ya kuipiga Iran. Lakini yale mapigo ya Ain El...
  10. M

    Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi punguza sana Cheap Publicity ambayo naona inaanza kukuzoea sasa

    Mie sijakuelewa hata kidogo. Ulitaka kumaanisha nini katika andiko lako?
  11. M

    TCRA, nawaombea msamaha Wasafi TV

    Lakini Wasafi Media wajitathmini. Ajira zao vilevile wazitathmini. Unapoajiri makanjanja kwenye tasnia inayohitaji weledi tarajia makosa haya kujitokeza mara kwa mara. Mtu kama Baba Levo (confuser) ndio mtangazaji utarajie nini kama sio shida. Lazima tukiri kwamba kunahitaji universal...
  12. M

    Wanajeshi 270 wa Marekani waliuawa na makombora ya Iran kule Iraq

    Nadhani na wewe ni Mmarekani. Hivi hujui kile kipigo kilikuwa cha mbwa mwizi. Watu wengine ni hovyo sana humu ndani. Ni aibu kwa US kambi zao kubwa kupigwa kiasi kile kinadhalilisha wanajeshi, technolojia na vitu vingi. Unawezaje kukiri???
  13. M

    Kisima cha ajabu cha Kaole - Bagamoyo

    Chini ya ardhi kuna siri nyingi. Kuna mito inayomwaga maji baharini ipitayo chini kwa chini na vyanzo vyake huwa ni vya mbali sana. Eneo laMpera hapa Kigamboni kuna maji mengi sana na ni baridi kabisa hayana chumvi. Huo ndio uumbaji wa Mwenyezi Mungu ambao wewe na mimi tutapita lakini tutakuwa...
Back
Top Bottom