Recent content by martyr101

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbona Tanzania bado inanufaika hata kiwanda cha kusafisha mafuta kikijengwa Kenya?

    Baada ya taarifa kuwa kiwanda kimehamia kenya tanzania hain mpango wa kulinda soko la mafuta ya dangote,hata dangote alipoikaribisha tz kununua shea ,alijibiwa TU kitengo husika kitafanyia kazi ilo swala
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbona Tanzania bado inanufaika hata kiwanda cha kusafisha mafuta kikijengwa Kenya?

    Kama Mtanzania ambaye nimekuwa nikifuatilia kwa karibu suala la kiwanda hiki cha kusafisha mafuta (refinery) kuna mambo mengi ya kimkakati na kisiasa yaliyojificha nyuma ya pazia. Hivi karibuni, kulikuwa na kikao nchini Kenya kilichowakutanisha Rais William Ruto, Rais Yoweri Museveni, na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

    Wanawake wabishi kama hawa usipende tukio liwe la kujirudia rudia yaan unatakiwa unagawa kichapo ambacho kitaweka historia asije hata kuwaza kusimama na wewe,yaan unapiga kama vile ni mwanaume mwenzako baada ya apo usitake kupigana tena ni kauli tu ukikuta hajafanya unafanya Tu mwenyewe unless...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

    Kati ya kitu nilichojifunza usioe mwanamke kwa kumhurumia utajuta, wala usitegemee fadhila ukimpa msaada yaan Fanya ni sadaka (some time hata akikupa pussy usile) hawajua cha Kesho ndo walivyoumbwa lakin wala usiwalaumu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mauaji ya Mushi, Tafadhali Chukua Hatua Mapema Dhidi ya Uovu wa Polisi.

    Mtu kafa ameuwawa hiyo ndo hoja huwez ukaanza kuleta hoja za kibaguzi na kibaya Zaid unataja kabila na unaanza kuhusisha na mambo ya vyama siasa ni kuonyesha wewe ni barbarian usiejali ubinadamu haya mambo sijui ya vyama sijui ukabila ukishatoka uku duniani ndo vimebaki hata mke wako...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kero ya Mabasi ya Mikoani kuchochea udini

    Kikawaida mabas yanayomilikiwa na Muslim,wafanyakazi wake kwa asilimia kubwa wanakuwa Muslim alafu wanaweka nyimbo za injili wenyewe apo napo tuseme nn?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Tatizo mnabaka Sana point za watu na kwasababu mtu hataki kuandika riwaya tunawajib tu short tunapita, but let me explain, kuna madem kadhaa niliwawahi kuapproach kwa vipindi tofauti baada ya kuwaona wanakuja at my kanisa mara kwa mara nikidhan ni wa watu wanaojielewa na ni university students...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Hamna shida wawe tuuuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Swal kama hili kujib ni kujipotea maana litutoa nje ya mada
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Aya sawa lakin nilichosema nishasema na ndivyo kilivyo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Peponi kutakuwa na Nyama Choma?

    Na hii imepelekea Muslim wa middle east kujilipua san
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Nilishafika mahali nikaona hao wanawake wazalishwe tu waachwe ,maana unamkuta mtu anakazi Yake anamaisha yake ametulia anamfata msichana anataka aowe msichana kwa pozi na zarau anamwambia Nina mtu wangu, na apo unakuta mtu aliye naye hana feature yeyote ,wajazwe tu mamimba waachwe uko na Sisi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Peponi kutakuwa na Nyama Choma?

    Sasa wewe kama utapewa bikra 72 na unapewa nguvu za kutumia 100 nyama choma ni ya ,nini?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje kuimarisha Maadili katika JAMII Kwa kuondoa Biblia mashuleni?

    Kumbuka Muslim wapo na wasio abudu pia wapo na wao watafundishwa kwa lazima wasicho amini
Back
Top Bottom