Recent content by Martyr 360

  1. Martyr 360

    Wanawake: Funguka jinsi ulivyopigwa matukio wakati wa mahusiano

    Katika hawa mbuzi ninaowapigia gitaa naamini kunawatu AMBAO shida yao NI ujinga ,maana unataka kijana handsome,fedha anayo,anaelimu,anagari nyumba nzuri obvious wanawake wanamtaka wengi sio anawatafu wanamtafuta kwahiyo ukija uko kichwa kichwakichwa anapiga akisharidhika anakuweka pembeni ili...
  2. Martyr 360

    Wanawake: Funguka jinsi ulivyopigwa matukio wakati wa mahusiano

    Kitu au mtu WA maana sikuzote huwa akionekani Kwa Nje kuwa NI kizur ,Wana waisrael waliambiwa watakuta nchi nzur Sana walipoiyona Kwa macho kumbe NI jawangwa afu inamajitu,daud muomekano wake ulikuwa dhaifu kiasi ambacho hata familia yake ilimsahau kabisa, je NI wanawake wangap wanaeza sema huyu...
  3. Martyr 360

    Nchi hii ni bora ukutwe na madawa ya kulevya ila sio maini ya swala

    Sasa alikuwa anajua NI ya swala kwel?
  4. Martyr 360

    Husband is needed

    Mwanaume financial stable inatosha ivyo vigezo vingine vyakutafutia mwanamke siyo mwanaume
  5. Martyr 360

    Husband is needed

    Financials stable afu wapole hayo matoleo NI machache ila financial stable afu wababe ,wakorofi wasio sikiliza ndo wamejaa
  6. Martyr 360

    Series bora ulizowahi kuangalia

    Hobbit,lord of the rings ligend of the seeker, nikiwa teen nilizipenda ,nikiwa young adult nilipenda viking na GOT,walking in dead but now in early middle age tv ishakuwa pambo Tu. lakin bado naikumbuka seeker
  7. Martyr 360

    Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

    Kila mtu atapewa WA kufanana ukijichanganya bhas ,mi napenda tugandamane
  8. Martyr 360

    Nazeeka kwa kasi ya ajabu mno. Nifanye nini?

    Kata CARBS KWENYE CHAKULA CHAKO KWA 80% ,nyama ya ngurue ya ng'ombe tumia kidogo sana,alafu vinywaji vya soda,bia,vinywaji vikali,sigara, achana navyo replace it with juice tengeneza nyumba Tu hasa za matunda kama parachichi epuka,lala muda WA kutosha ,punguza mapenzi na tembea hatua 80000 daily,
  9. Martyr 360

    Angelina Jolie aanza kusumbuliwa na Mama wa mtoto aliyemuasili

    Shida siyo umaskin WATU hawataki kujua nini kimewaleta duniani na kwanini wapo umaskin ndo unanzia apo
  10. Martyr 360

    Rais Samia unasubiri nini kufunga Ubalozi Israel?

    Kuna baadhi ya nchi za kiarabu tena zenye nguvu ya pesa ambazo ziko kimya kabisa kwenye huu mzozo WA Israel na Palestine ,tena zingine zinataka kufanya Aman na israel afu Sisi Tujitie kimbelembele WAla tusijaribu,WAla tusiwaze tena tujiepushe mbali kabisa na huu mzozo
  11. Martyr 360

    Haya ndio maboresho ya Mtaala wa Elimu yanayoenda kufanyika Tanzania katika jitihada za kuboresha Elimu

    Chakushangaza kweli katika vitu vyote vya kufundisha kufuga wameona nyuki ndo Sahihi kwel?
  12. Martyr 360

    Wanawake wa kitanzania hawafai, wacha nitafute another race or culture

    Tena uko utakapoenda utakutana na kitu kinaitwa 50'50 hiyo ndo itakurudisha Afrika, afu ukimpiga na wewe NI mweusi ukapelekwa mahakama za kule kwao utafanywa mbaya .
  13. Martyr 360

    Wanawake wa kitanzania hawafai, wacha nitafute another race or culture

    Wapo afu vizur maana wanatengeneza kwa mazoezi usitake makubwa taka mazuri
  14. Martyr 360

    Wanawake wa kitanzania hawafai, wacha nitafute another race or culture

    Watu wanajuiliza Kwanini ndoa NI ngumu, ndio lazima iwe ngumu sababu inakitu cha kiroho ndani ,ndoa,uchumi au soko, position au mamlaka,sheria na muda ivyo NI viwanja vya vita za kiroho jipange vizur kiroho ukitaka kuingia kwe izo field na nikuambie hata ukachukue mke visiwa vya Hawaii mziki NI...
Back
Top Bottom