Recent content by martinum

  1. M

    JamiiForums Tanzania kwa first year COET

    kuna msemo wanasema maisha ya chuo ni bata sio kama advance,sijui kwa coz zingine ila kwa coet ukiamini huo msemo utaumia tena unaweza ukaingiza sup za kutosha tu,kwa coet msuli unaitajika tena kuna mda mwingine unazidi hata ule wa advance ,kuna week kazaa za mwanzo za kurelax baada ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Udom kama Barcelona

    udom bado sana mtaendelea kusifia hayo majengo tu,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Udsm ni kama manchester united!!!!!!!!!!!

    mnaokipondea udsm wengi wenu mtakuwa udom au vyuo vingine vya kata,yaan kubali ukatae udsm ndo chuo cha ukweli Tz nzima,imepiga gepu kali sana vyuo vingine hapa Tz hata ukiangalia rank za vyuo bora africa na ma To wengi na wakali wengi wa Tz utawakuta udsm kama kilaza huwezi ukaenda pale,kama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CCM: Chuo cha Dodoma kiitwe JK University

    mbona unatema mashudu,yaan kingepewa jina lolote ila sio jk
  5. M

    JamiiForums Tanzania Top 20 univvestities in africa (2012)

    acha kutema pumba udsm sio cha 3000 na kitu kidunia,hizo ranking cjui umezitoa wapi?acha kutema mashudu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Udom boom latema...Hooray!!

    Dat gry8
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke mpumbavu na sio mbanaume mpumbavu?

    mwanamke ni rahisi sana kurubuniwa,kwanini shetani hakumfuata adam akamfuata hawa? aliona kumrubuni hawa ni rahisi kuliko adam,na hapo ndipo dhambi ya asili ilipoanzia na ndo sababu binadamu wote lazima tufe kutokana na hiyo dhambi ya asili,so then mwanamke ndo aliye sababisha binadamu wote...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 usiyotakiwa kuyafanya kitandani

    wewe lara1 game ishie juu ya shuka kwani wewe utakuwa hutak,lazima uchojoe tu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Heslb mambo yameanza kupakuliwa

    Mmmmh kama mtu una presha unaweza ukazima
  10. M

    JamiiForums Tanzania hatimaye bodi ya mikopo yatoa majina .

    time will tell
Back
Top Bottom