Kwetu sio wavivu, wapigadili hakuna ,tatizo hakuna kazi,tumelima mvua hakuna,mito ya kumwagilia hakuna,kuchoma mkaa marufuku,tumefuga kuku wa kienyeji wameshuka bei, eti siku hizi huko mjini hamli kuku,mnasema hela zimesepa!!!kwahiyo tukilia hatuna pesa sio kwamba hatufanyi kazi,