Recent content by Martinezz Jr

  1. Martinezz Jr

    JamiiForums Natafuta college ya kufanyia field Mwanza

    college nyingi zinafundisha psychology nimeshapata college ya mipango
  2. Martinezz Jr

    JamiiForums Natafuta college ya kufanyia field Mwanza

    SAUT si college mkuu ,nliitaj college za kufundisha psychology
  3. Martinezz Jr

    JamiiForums Natafuta college ya kufanyia field Mwanza

    naomben msaada n chuo kip n kizur kufanyia field mwanza kwa bachelor of edu in psychology
  4. Martinezz Jr

    JamiiForums Nimepangiwa Hostel za Magufuli UDSM, natafuta wa kubadilishana naye niende Mabibo Hostel au Main Campus

    nmepagiwa mabibo kama upo tiar nicheki tubadilishane bro
  5. Martinezz Jr

    JamiiForums Mahusiano yamevunjika, kisa nimemuambia nywele za bandia sizipendi

    kama bwai na iwe bwai ,kiswala chenyewe kdgo anatishia uhai wa penz kaza usitume ata sms
  6. Martinezz Jr

    JamiiForums Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    tatzo lko unambabaikia sana ndo maana minyodo inakuwa ming ,mpotezee kuwa lijar af kama akijrud import vitu unavyovtaka ,sio anavyovtaka ,
  7. Martinezz Jr

    JamiiForums Muongozo wa kozi ya kuchagua kwa undergraduate mwaka wa masomo (2017/2018)

    Jimmy mc chek no inbox tujuzane khusu iyo faculty
  8. Martinezz Jr

    JamiiForums Nikisoma shule ya private kuna uwezekano wa kuja kupata mkopo?

    private ya nn "A" level we nenda government pga musuri na tuition za kutosha utatoboa na utakuwa na possibility kubwa ya kuudaka mpunga wao
  9. Martinezz Jr

    JamiiForums Msaada kwenye profile yangu UDSM

    username: email yako ,password: n email password yako
  10. Martinezz Jr

    JamiiForums Muongozo wa kozi ya kuchagua kwa undergraduate mwaka wa masomo (2017/2018)

    Asante, duuh ilkwa imenchanganya make ilkuwa chaguo lang la 3
  11. Martinezz Jr

    JamiiForums Muongozo wa kozi ya kuchagua kwa undergraduate mwaka wa masomo (2017/2018)

    salam wana jf nmechaguliwa udsm kwa iyo koz tajwa apo juu ,kwa wanaoijua itakuwa na wigo mpana wa kuajiriwa na n maeneo gan asanten
  12. Martinezz Jr

    JamiiForums University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    mbio za sakafuni huishia ukingon ,acha dak,saa,sku.. ziende watafka mwisho watatoa tu.
  13. Martinezz Jr

    JamiiForums Atletico vs Chelsea itaoneshwa Azam tv?

    huwa znarushwa j-tano KTN
Back
Top Bottom