Recent content by Martine Tibe

  1. Martine Tibe

    Kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii, tofauti kabisa na binadamu wa mabara mengine?

    Kwa hyo mkuu Africa ilitawaliwa na nani? Katika Karne ya 14
  2. Martine Tibe

    Mke kanipeleka Police, ndo natoka mida hii!!

    Uvimilivi wa hvyo hapana
  3. Martine Tibe

    Mke kanipeleka Police, ndo natoka mida hii!!

    Daah pole sn mwamba lkn ndo maisha hyo . Ila sio wte wako km mke wak . Anaytka kuoa aoe tu maana hta mm sijaoa
  4. Martine Tibe

    Afrika pumbavu

    Hata kusoma magazeti , vitabu hatujui kbsa vijana wa sasa . Telegram kujiunga na assengal baadhi yetu hatuna mda. Ila BRAZA PUNGUZA JAZBA UMEVURUGWA MJOMBA
  5. Martine Tibe

    Si jukumu la Watoto kukuhudumia uzeeni...

    Hata mm baadh ya ndugu siwajui lkn wao wananijua. Maana wakienda home wanapewa namba . Hapo mm huwa sitoi hela . Lkn madogo duuuh
  6. Martine Tibe

    Bila wachezaji hawa, leo Simba ilikuwa anafungwa na Yanga

    Mtoa Uzi sijui ana aina van ya tv . Hoja yake , [emoji706][emoji706]
  7. Martine Tibe

    Bila wachezaji hawa, leo Simba ilikuwa anafungwa na Yanga

    Sijui ana aina gn ya TV
  8. Martine Tibe

    Bila wachezaji hawa, leo Simba ilikuwa anafungwa na Yanga

    Mpwa, naona ww ulitizama mechi kupitia TV ya aborder . Maana hoja yako itakufikisha mbinguni ukiwa umechoka sana
  9. Martine Tibe

    Si jukumu la Watoto kukuhudumia uzeeni...

    Hatujakataa, mwana JF lkn wngne ndugu wanataka ulazima
  10. Martine Tibe

    Si jukumu la Watoto kukuhudumia uzeeni...

    Weweeeeee anakutumia orodha yaan kila shida kwako . Unampa pesa ya kitega uchumj lkn akishapokea bajeti inabadilika anaanza kukwambia niliona nifanye hv Mara hiv . Yaan hasira znakpnda mpka basi .
  11. Martine Tibe

    Si jukumu la Watoto kukuhudumia uzeeni...

    Yaani hatari Sana , vp ww swala la ndugu mbali na wazaz wako. Huombwi kila wiki ?.
  12. Martine Tibe

    Si jukumu la Watoto kukuhudumia uzeeni...

    Daaah mwana ww vumilia tu . Mimi Kun ndugu wanaomba kila wiki wakt wanafamilia zao
  13. Martine Tibe

    Si jukumu la Watoto kukuhudumia uzeeni...

    Bora wazazi hawaombi Sana ndugu sasa ni balaa Yaaan . Kila wiki wakt na yeye anafamilia yak
Back
Top Bottom