Mchongo mchongoma atakuwa kaenda kwa kazi maalumu kamaliza karudi chimbo lake kuendelea kupiga madini. Angepewa pole kama angekuwa kapoteza kabisa kumbe karudi kwa zamani mi nampongeza maswi endelea kuchepuka tu mwana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.