[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sana, kweli usitamani mali za mtu mwingi kama biblia inavyo sema. Sababu huwezi jua amezichuma wapi na amezipata pata vipi. Dunia ina mambo wazee wenzangu....
nataka nifungue kampuni ya biashara yenye platform, kama ebay.com au alibaba.com au jumia.cm hapa kwetu tanzania nilete ushindani kwa kampuni kama kina jumia.com.
Utofauti upo na pia kuna shida kidogo. E-Commerce ni tofauti na classified( Tangaza/matangazo). Kupatana, zoomtanzania, Tonaton, OLX na wengine ambao wana suala la udanganyifu hawajaribu kufanya biashara mtandaoni. Hawakubali malipo, hawafanyi kuwasilisha mizigo(delivery) na hawataki. Kwa sababu...
Natafuta wawekezaji, watakaoweza kuwekeza na kunipa support(finacially) katika project yangu ya e-commerce ambayo ni yakitofauti ikilinganishwa na makampuni kama kupatana, zoomtanzania ambazo ni kapuni za wazawa kama mimi hapa nchini kwetu. Wenye ushauri au ambao mngependa kujau zaidi. Whatsapp...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.