Huna hata aibu kijana. Hebu jaribu kuweka kwenye mizani ya elimu nani zaidi kati ya hawa;
Mbowe Vs Stephen Ngonyani (Mganga wa Kienyeji)
Lema Vs Lameck Yairo
Hao ni wachache tu kwa kukumbusha kuwa Mbungeni mmejaza wapiga makofi si watengeneza hoja za Msingi kwa maslahi ya Taifa letu. Wabunge...
Pole sana MwanaGamba, kama ni zigo la nyanya mbovu Mbona mmeshindwa kupata nyanya mbivu kuchukua nafasi yake Sombetini. Inawauma sana kumwona kijana anazidi kuwaharibu kila kona anakopita. Kaza buti Kamanda Mawazo, ukimaliza Kwimba shuka na Missungwi tuwamalize kote waliko hawa Magamba. Bukumbi...
Kati ya matukio yanayosikitisha sana kwa jamii za wafugaji ni hili tukio la hawa wafugaji wa vilima 3. Hali waliyonayo ni mbaya sana kwani vitu vyao vyote viliteketea kwenye nyumba zao na hayo yote ni kulinda maslahi ya wawekezaji ambao wanakula sahani moja na kugongeana glass za vinywaji na...
Hongereni wanamusoma na simamieni vizuri mikopo hiyo ili ionyeshe utofauti na zile zilizotolewa kama hongo kwa jina la Mabilioni ya JK na kunufaisha watu wachache. Toeni elimu stahiki kwa vikundi vyote vilivyopata mikopo hiyo ili iweze kuwasaidia na waweze pia kuzirejesha na kupatiwa vikundi...
Kauli ya Mwl. Nyerere kila kukicha inadhidi kudhihirika kwa watanzania kuwa CHAMA LEGELEGE, HUZAA SERIKALI LEGELEGE. Kinachotokea kwa serikali hii ya chama dhaifu ndicho kinachofanywa na viongozi wake kupitia chama hichohicho. Mara akatae viti maalum wakati mke wake nae ni mnufaika wa vitu...
Pole kijana mwenzagu, CHADEMA tamu sana kwani naona mpaka sasa unakosa hata usingizi kwa kufikiria utaisemea namna gani. Utazidi kujutia uamuzi wako wa vijisenti na kuusaliti umma na CHADEMA itaendelea kusonga mbele hata kama kila dakika utaleta hapa JF post za kukaririshwa na magamba wenzako...
Kwa wale mnaoendelea kuaminishwa na propaganda za watawala kuwa CHADEMA kinachukiwa na watu, basi fikirieni upya na jipangeni vizuri kwani moto wa chama unazidi kuwaka na kumulika kila kona. Uchaguzi mdogo wa kiti cha mwenyekiti wa mtaa wa Maisaka Kati Jimbo la Babati Mjini mkoa wa Manyara ni...
Mtahangaika sana kuipaka matope CHADEMA, lakini kwenye mioyo ya Watanzania hamtaweza kuitoa. Fitina, hujuma na girba zote mnazofanya dhidi ya upinzani wananchi wanaona na wanasikia. Sasa kama mnafikiri mnaimaliza CHADEMA, poleni sana
Ukiona Kiongozi wetu amepewa sifa na Nishani kama huyo Mzee, jua kinachofuata hapo ni Kampuni za Kichina kupewa tender hapa nchini. Nchi imemegwa tayari
Rage na Mwigulu si wote Mbumbula tu, akili zao zinalingana kwani kama Msomali angejua thamani ya timu ya Simba asingeweza kuidhalilisha kwenda kuhujumu mawazo ya Watanzania. Lakini kwa vile Chadema ni mpango wa Mungu, ndio maana walishindwa kufika kwa muda waliopangiwa na Gaidi Mwigulu na Al shabab
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.